Maajabu!! MCHUNGAJI WA KANISA ABEBWA JUU JUU KWENYE KITI WAKATI WOTE WA IBADA KANISANI..VIDEO IKO HAPA
الجمعة, أكتوبر 30, 2015
Hiki ni kipande cha video ambacho nimekipata kwenye channel ya KTN Television ya Kenya, hakuna maelezo ambayo yametolewa kuhusu Kanisa lilipo wala tukio lilitokea lini !!..
Mchungaji kabebwa juujuu kwenye kiti na waumini huku anaendeleza ibada Kanisani… sijajua huu ulikuwa uamuzi wake kufanya ibada kwa aina hiyo au alikuwa na tatizo jingine… Video hii hapa..
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin