![]() |
| Meneja wwa SIDO mkoa wa Shinyanga Athanas Moshi akitoa maelezo kwa mheni rasmi kuhusu kazi mbalimbali zinazofanywa na SIDO |
![]() |
| Kundi la ngoma ya jadi ya Wanunguli wakitoa burudani katika viwanja vya Shycom mjini Shinyanga |
![]() |
| Wanunguli wakitoa burudani |
![]() |
| Meneja wa SIDO mkoa wa Shinyanga Athanas Moshi akizungumza wakati wa Ufunguzi wa maonesho hayo |
![]() |
| Mstahiki meya wa manispaa ya Shinyanga Gulam Hafeez Mukadam akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo |
![]() |
| Mkuu wa mkoa wa Simiyu Erasto Mbwilo akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo |
Picha zote na Kadama Malunde- Malunde1 blog














Social Plugin