| Gari inayodaiwa kuwa ilikuwa katika mwendo kasi ikiwa na watu watano na inaelezwa kuwa pia alikuwemo mtoto mchanga ambao walinusurika kufa ikiwa imepinduka |
Ilielezwa kuwa ndani ya gari lililoharibika kulikutwa chupa za bia na viroba vya konyagi
eneo la tukio
| Gari la polisi likiwa eneo la tukio,ndani ni watu waliokuwa katika gari lililosababisha ajali |
| Mwonekano wa magari yote mawili |
| Wakazi wa Shinyanga wakiwa katika eneo la tukio,chini ni pombe ikiwa imemwagika pembeni ya gari lililokuwa katika mwendo kasi |
| Gari ya pili ikiwa imeharibika,ingawa dereva wake hakuumia katika ajali hiyo |
Social Plugin