Ufanyaji massage kwa kutumia nyoka ni Biashara ambayo iko serious
huku nyoka wanaotakiwa kutoa huduma hiyo lazima wawe na urefu wa mita
tano na uzito wa 250kg, biashara ambayo awali ilikuwa ikifanyika bure
katika mji wa Cebu Zoo kabla haijawa maarufu na kutumiwa na watu wengi.
Msimamizi wa mji huo Giovanni Romarate amesema
wakati wanaanza biashara hiyo wageni walikuwa wanaogopa, lakini wengi
waliojaribu waliipenda na sasa hutolewa kwa kulipia na mchango
unaopatikana husaidia maendeleo katika mji huo.
Unaweza kutazama Video hiyo hapa kwa kubonyeza play mtu wangu.
Social Plugin