Breaking News!! WATU WATATU WAFARIKI KWA KUWAKA MOTO KWENYE PIKIPIKI MJINI IRINGA
السبت, يناير 31, 2015
Ajali
mbaya imetokea usiku huu Mjini Iringa eneo la Kihesa Kilolo baada
ya watu watatu waliokuwa kwenye bodaboda kugongana na lori aina ya
fuso iliyokuwa inatoka mjini Iringa kuelekea Dodoma katika barabara ya
Iringa -Dodoma na wote watatu wamekufa eneo la tukio kwa kuwaka moto
pamoja na piki piki yao picha hazifai.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin