Mawe fimbo n.k,Wananchi wenye hasira wakiwa katika harakati za kumwadhibu jamaa huku viongozi wa mtaa na sungusungu wakizuia asipigwe
![]() |
| Ni katika eneo la tukio |
![]() |
| Umati wa wananchi wakiwa eneo la tukio |
![]() |
| Mmoja kati hawa watoto wawili kanusurika kufanyiwa unyama na jamaa aliyepigwa na wananchi wenye hasira jioni hii mjini Shinyanga(Jina la mtoto linahifadhiwa na Malunde1 blog kwa sababu za kimaadili) |
![]() |
| Wananchi wakiwa na hasira |
![]() |
| Viongozi wakizuia jamaa anayedaiwa kutaka kubaka mtoto asipigwe kwani wananchi walitaka kumchoma moto |
![]() Pichani ni jamaa/mwanamme ambaye hakujulikana jina wala makazi yake aliyenusurika kufa kutokana na kipigo cha wananchi wenye hasira kali baada ya kudaiwa kukuktwa akifanya jaribio la kutaka kumbaka mtot o mwenye umri wa miaka mitano jioni ya leo eneo la kata ya Masekelo katika manispaa ya Shinyanga ![]() |
| Baada ya jeshi la polisi kufika |
![]() |
| Tayari kapanda kwenye gari la polisi,usiku huu |
![]() |
| Polisi wanaondoka na mtuhumiwa wa ubakaji Picha zote na Kadama Malunde-Malunde1 blog |
TAFADHALI BOFYA HAPA U LIKE PAGE YETU TUKUTUMIE "HABARI" MOJA KWA MOJA KILA ZINAPOTOKEA












Social Plugin