AFISA MTENDAJI ASIMAMISHWA KAZI KWA UZEMBE MKOANI SHINYANGA
Wednesday, August 13, 2014
Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Songambele kata ya Salawe halmashauri ya wilaya ya Shinyanga wakichota maji ukiwa ni mradi wa ziwa victoria ambao umesababisha watu wanne wajumbe wa kamati ya maji iliyokuwa ikisimamia mradi kufikishwa mahakamani kutokana na ubadhilifu wa shilingi milioni nane ambazo zinatokana na mauzo ya maji.
Hata hivyo afisa mtendaji wa kijiji hicho Paschal Chuma naye amesimamishwa kazi kutokana na uzembe pamoja na kushindwa kuwasomea wananchi mapato na matumizi yatokanayo na mradi huo tangu kuanzishwa kwake mwaka 2008.
Katika mradi huo wa maji inadaiwa na baadhi ya wananchi wa kijiji hicho kuwa kwa mwezi walikuwa wakikusanya kiasi cha shilingi millioni 1.6 katika kituo kikubwana kituo kidogo ni kiasi cha shilingi millioni 1.5, lakini katika akaunti ya benki kulikuwana kiasi cha shilingi laki tatu tangu mradi huoulipozinduliwa mwezi wa tano mwaka 2008. via Stella blog
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin