| Kushoto ni katibu mpya wa Chadema wilaya ya Shinyanga mjini Mussa Ngasa maarufu kwa jina la Goma la Manzese ama "Machimu Kenda" (mikuki 9) akiwasalimia wakazi wa Shinyanga mjini ambapo alisema CHADEMA imejipanga vyema katika kuhakikisha inachukua uongozi kuanzia ngazi ya chini hadi juu-Picha na Kadama Malunde-Shinyanga |
Waandishi wa habari wakifanya yao wakati wa mkutano wa Chadema jioni ya leo mjini Shinyanga-Picha na Kadama Malunde-Shinyanga
| Wakazi wa Shinyanga wakifuatilia mkutano wa Chadema jioni ya leo mjini Shinyanga-Picha na Kadama Malunde-Shinyanga |
Social Plugin