SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA STEVE RNB- Unaitwa "SHE DANCE"

Mkali toka Tanzania ambaye yupo kwenye list ya Wanamuziki wanaofanya vizuri kwenye muziki wa Rnb,Watanzania wengi tulimtambua Steve Rnb baada ya kushirikishwa na Mr. Blue kwenye wimbo wa Tabasamu,huu ni wimbo wake mwingine mpya unaitwa She dance.

SIKILIZA HAPA NGOMA HII

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
أحدث أقدم