![]() |
| Awali kabla sala maalum ilifanyika. |
![]() |
| Katika mazishi hayo Beat Agenda iliwakilishwa naye DVJ Bavon (mwenye skafu na kofia kushoto). |
![]() |
| Shekhe wa wilaya ya Ilemela Shk. Mohamed Yusufu akitoa neno la barka kwa waliohudhuria mazishi hayo |
![]() |
| Baadhi ya watoto wa marehemu wakijumuika na wajukuu na marafiki wengine wa marehemu katika sala ya kuhitimisha maziko kifamilia. |








Social Plugin