Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

PASTOR SIMON BIGAMBO AACHIA WIMBO MPYA WA INJILI “UA LA MOYO”

Mchungaji Simon Bigambo ameachia rasmi wimbo wake mpya wa Injili unaoitwa “Ua La Moyo,” ambao sasa unapatikana kwa njia ya sauti (Audio) kupitia mtandao wa YouTube.

Wimbo huo umetayarishwa na Joh The Brain, ukiwa sehemu ya huduma ya Injili kupitia muziki, kwa lengo la kuwafikia watu mbalimbali na kuwahamasisha kumkaribia Mungu kupitia nyimbo za kiroho.

Wimbo wa “Ua La Moyo” sasa unapatikana YouTube.

🎵 SIKILIZA WIMBO HAPA:

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com