Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Video Mpya : LIMBU LUCHAGULA Ft. SUZY NDATULU - NG'WANIKUMBULA


Msanii wa muziki wa asili Limbu Luchagula ameachia rasmi video ya wimbo wake mpya "Ng'wanikumbula", akimshirikisha Suzy Ndatulu.

Video hiyo ya ubora wa 4K imeongozwa na Director Migera na sasa inapatikana kupitia YouTube pamoja na majukwaa mengine ya kidijitali. 

Limbu amewaomba mashabiki kuendelea kuisapoti kazi hiyo kwa kuitazama, kuishirikisha na kutoa maoni yao.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com