Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

PASAKA HII NI VICHEKO TU ! KAHAMA COMEDY NIGHT KUKUSANYA MASTAA WAKUBWA WA VICHEKESHO!

 

🔥 Pasaka Hii ni Vicheko Tu Kahama! 🐣😂🔥

Usiku wa vicheko, burudani na mastaa wakali unakuja kwa kishindo ndani ya Kahama!

🎤 Jiandae kucheka mpaka mbavu ziume ukiwa na mastaa:
Matabe | Ganslay | Headmaster | King’amuzi | Rasco Meddy

🗓️Tarehe: 04 April 2026
🕖 Muda: Saa 1:00 Usiku
📍 Ukumbi: Miligo Hall (Zakaria)

💸 VIINGILIO:
🎟️ Regular — 10,000/=
🌟 V.I.P — 30,000/=
🛋️ Sofa — 100,000/=
🍾 Meza — 500,000/=

🎉 Huu ni Mkesha wa Pasaka usiopaswa kukosa – vichekesho vya kiwango cha juu, vibe kali na burudani ya ukweli!

📞 Mawasiliano & Udhamini: +255 757 993 210

👉 Usikose! Andaa marafiki, familia na njoo ujionee burudani ya kipekee Kahama!


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com