ZIMAMOTO WASHINDWA KUIZIMA TIMU YA NMB MANONGA ,MENEJA NMB AELEZA FURSA ZINAZO PATIKANA BENKI YA NMB

Wachezaji wa Timu ya Benki ya NMB Manonga wakijiandaa kuikabili timu ya Jeshi la Zimamoto na uokoaji mkoa wa Shinyanga ,wakati wa mchezo wao wa Kirafiki ulio chezwa kwa lengo la kudumisha umoja na mshikamano baina ya timu hizo ,mchezo uliochezwa March ,16,2024 katika Uwanja wa Chuo cha Ualimu Shinyanga (SHY COM) ambapo timu zote zimechoshana nguvu kwa kufungana mabao ma 2 kwa 2.

Na mwandisdhi wetu Malunde 1 Blog.

Timu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Shinyanga,imeshindwa kuibuka kidedea katika mchezo wa kirafiki walio cheza na Timu ya Benki ya NMB Tawi la manonga kwa lengo la kudumisha umoja na mshikamano baina ya Timu hizo.

Mchezo huo umechezwa March 16, 2024 katika Viwanja vya Chuo cha walimu Shinyanga (Shy com) Manispaa ya Shinyanga na kuzikutanisha timu ya Benk ya NMB Tawi la Manonga dhidi ya Timu ya Jeshi la zimamoto na uokoaji mkoa wa Shinyanga.

Mchezo huo wa Mpira wa Miguu umemalizika kwa kufungana kwa Mabao ma wili kwa mawili na kuifanya timu ya jeshi la zimamoto na uokoaji kushindwa kuuzima moto wa timu ya benki ya NMB kwa kukubali matokeo hayo.

Aidha, katika mchezo huo ulio andaliwa na benki ya Nmb Tawi la manonga meneja wa benki hiyo Gadiel Sawe amesema kuwa wameandaa mchezo huo kwa lengo la kudumisha umoja na mshikamano baina ya timu hizo huku akiwakaribisha wafanyakazi wa timu ya Zimamoto kutembelea benki hiyo ili waweze kuona huduma wanazo zitoa katika benki hiyo zenye ghalama nafuu ikiwemo huduma za bima na akaunti mbalimbali ikiwemo akaunti ya NMB Pesa akaunti inayo funguliwa kwa ghalama ya Shilingi elfu moja.
Wachezaji wa Timu ya Benki ya NMB Manonga wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mpambano kuanza.
Wachezaji wa Timu ya Jeshi la zimamoto na uokoaji mkoa wa Shinyanga wakijianda kuikabili timu ya Benki ya NMB Tawi la Manonga,wakati wa mchezo wao wa Kirafiki wa walio ucheza kwa lengo la kudumisha umoja na mshikamano baina ya timu hizo ,mchezo uliochezwa March ,16,katika Uwanja wa Chuo cha Ualimu Shinyanga (SHY COM) ambapo timu zote zimechoshana nguvu kwa kufungana mabao 2 kwa 2.
Wachezaji wa Timu ya Benki ya NMB Manonga wakijiandaa kuikabili timu ya Jeshi la Zimamoto na uokoaji mkoa wa Shinyanga ,wakati wa mchezo wao wa Kirafiki ulio chezwa kwa lengo la kudumisha umoja na mshikamano baina ya timu hizo ,mchezo uliochezwa March ,16,2024 katika Uwanja wa Chuo cha Ualimu Shinyanga (SHY COM) ambapo timu zote zimechoshana nguvu kwa kufungana mabao 2 kwa 2.

Wachezaji wa Timu ya Jeshi la zimamoto na uokoaji mkoa wa Shinyanga wakijianda kuikabili timu ya Benki ya NMB Tawi la Manonga,wakati wa mchezo wao wa Kirafiki wa walio ucheza kwa lengo la kudumisha umoja na mshikamano baina ya timu hizo ,mchezo uliochezwa March ,16,katika Uwanja wa Chuo cha Ualimu Shinyanga (SHY COM) ambapo timu zote zimechoshana nguvu kwa kufungana goli 2 kwa 2.
Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Manonda Gadiel Sawe akisalimiana na Staafu Sajenti Amani Mtawa kutoka jeshi la zimamoto na uokoaji baada ya mpambano kumalizika.

Wachezaji wa Timu ya Benki ya NMB Manonga wakiwa mapumzi ,wakati wa mchezo wao wa Kirafiki ulio chezwa kwa lengo la kudumisha umoja na mshikamano baina ya timu hizo.

Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Manonda Gadiel Sawe akizungumza na wachezaji wa Timu ya NMB wakati wa mapumziko.

Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Manonda Gadiel Sawe akizungumza na mchezaji wa Timu ya NMB wakati wa mapumziko.

Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Manonda Gadiel Sawe akikagua uwanja kabla ya mpambano kuanza.Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Manonda Gadiel Sawe akionyesha mfano na mna ya kutuliza mpira kwa wachezaji wa Timua ya NMB .
Staafu Sajenti Amani Mtawa kutoka jeshi la zimamoto na uokoaji mkoa wa Shinyanga akijiandaa kuikabili Timu ya NMB Manonga.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
أحدث أقدم