WADUDU WALIONIFANYA KUSHINDA KESI KUBWA MAHAKAMANI

 

Jina langu ni Waithera kutoka katika kaunti ya Nairobi, tulimiliki shamba katika mtaa wa kifahari wa Runda ambapo shamba hilo lilikuwa takriban ekari 10. Mimi pamoja na mume wangu tulikuwa na hatimiliki ya shamba lile na hata tulikuwa tumejenga nyumba za kupangisha katika shamba hilo.

Muda ulivyosonga, mume wangu alipata ajali mbaya ya barabarani na kufariki alipokuwa akipokea matibabu katika hospitali ya Aghakan mjini Nairobi.

Baada ya wiki moja hivi, alijitokeza jamaa moja tajiri aliyedai kwamba alikuwa mmiliki wa shamba letu, sio hayo tu, bali pia alipeleka kesi kortini kutaka kulichukua shamba letu.

Alianza hata kunipa vitisho kwamba ananipa siku chache ili niweze kumpa hatimiliki ya shamba lile, sikuwa tayari kufanya hivyo kwani nilifahamu kwamba shamba lile lilikuwa langu na marehemu mume wangu.

Baada tu ya kumzika mume wangu hali ilianza kuwa mbaya kwani alikuwa akiwalipa vijana mtaani ili waweze kunitishia niligeze kamba na yeye kutwaa shamba lile.

Mara kesi alianza mbele ya korti, nilikuwa mwenye wasiwasi kwamba jamaa yule angeshinda kesi ile na kulichukua shamba langu.

Jamaa yule alikuwa ni mbunge katika eneo lile na kwa hivyo alikuwa na uwezo wa hata kushurutisha kesi kuamuliwa kulingana na matakwa yake. 

Hapo rafiki yangu Riziki kutoka kaunti ya Mombasa alinishauri kwamba palikuwepo na mtaalam wa mitishamba, African Doctors ambaye anaweza kutatua shida hiyo ndani ya muda mfupi tu. Alininipa nambari ya African Doctors na hapo nikampigia simu na ndani ya siku kadhaa nikaweza kuonana naye. 

Alininishughulikia kwa kunipa vijidudu na kuniambia ningeenda navyo kortini siku ya maamuzi ya kesi yangu, nilirejea nyumbani na siku ile ilifika.

Nilibeba dawa zile za kienyeji hadi kortini, na Jaji alitoa uamuzi kwamba shamba lile lilikuwa letu, Tajiri yule alitozwa faini ya Ksh200,000 kwa kutaka kuchukua mali isiyo yake kwa njia ya kimabavu.

Pia African Doctors hutibu maradhi kama kifua kikuu, kisukari, msukomo wa damu, kifafa n.k, husuluhisha shida za kifamilia kama kutokuwa na uwezo wa kupata mtoto, kutopata mchumba au mwenza wa maisha n.k.

Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com

Mwisho.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
أحدث أقدم