JISHINDIE TZS 800,000/= KASINO YA MTANDAONI


Ajira imekuwa ni kilio kwa watu wengi sana, kuna waliosoma na kufika elimu kubwa tu lakini wanahangaika bila kazi, leo nakwambiajee unaweza ukaondokana kwenye janga la kutokuwa na ajira kwa kuichagua Meridianbet, kwa sababu kutoka kasino ya mtandaoni inatoa TZS 800,000/= kwa washindi wa michezo ya Expanse.

 

Meridianbet wakali wa Kasino ya mtandaoni wenye sloti rahisi kushinda kama Aviator, Poker na Roullete wanagawa mpunga wa kutosha mwezi huu, usipange kukosa. Michezo ya sloti inayohusika kutoa mtonyo huu ni Book of Egypt, Bounty hunters, Capital City Derby, Forest Rock, Pirates Power, Spinning Buddha, The Book of Eskimo, Wild icy fruits.

 

Jinsi ya Kushiriki kwenye Promosheni hii

 

Ni rahisi sana wala huhitaji kutumia nguvu kubwa, ni kama kumsukuma mlevi vile hata kwa kutumia kidole anasogea tu. Cha kufanya zingatia yafuatayo ili kuwa moja ya wachezaji wazuri wa Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet:

 

• Promosheni ya mashindano ya Expanse - itafanyika katika kipindi cha kuanzia Machi 17 mpaka Machi 22-2023.

 

•Promosheni hii itahusisha wachezaji waliosajiliwa kwenye APP ya simu na tovuti ya  www.meridianbet.co.tz

 

•Wakati wa ofa, wachezaji hushindana kulingana na idadi ya mizunguko inayochezwa kwenye michezo ya watoa huduma ya Expanse kutoka kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Michezo ambayo inahusika wakati wa mashindano ni: Book of Egypt, Bounty hunters, Capital City Derby, Forest Rock, Pirates Power, Spinning Buddha, The Book of Eskimo, Wild icy fruits.

 

•Orodha ya nafasi iko ndani ya mchezo na itaonekana saa 24 baada ya mwisho wa mashindano.

 

• Kulingana na orodha ya mwisho ya nafasi, wachezaji 5 walioshika nafasi za juu watatunukiwa bonasi za kasino ya mtandaoni katika viwango vifuatavyo:

 

       •1. Nafasi ya Kwanza       250,000 TZS

       •2. Nafasi ya Pili               200,000 TZS

       •3. Nafasi ya Tatu            150,000 TZS

       •4. Nafasi ya nne              100,000 TZS

       •5. Nafasi ya Tano            100,000 TZS

 

• Ili bonasi ya kasino ya mtandaoni iliyokabidhiwa ihamishwe kwa akaunti ya pesa ya mchezaji, ni muhimu kuiwekeza mara 30 kwenye mchezo wowote wa yanayopangwa wa mtoa huduma wa Expanse. Ushindi wa juu unaoweza kutolewa ni 500,000TZS.

 

•Ofa hii ni halali kwa kila mtumiaji, anwani ya IP na kaya.

 


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments