RAIS MAGUFULI AMTEUA DKT. MISSANGO KUWA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI TRA

Rais John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Suleiman Magesa Missango kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).


Dkt. Missango ni Mkurugenzi wa Utafiti na Sera za Uchumi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT).
Uteuzi huo wa Dkt. Missango unaanza leo Julai 30,2019

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
أحدث أقدم