RPC DODOMA AZUNGUMZIA 'KIPIGO CHA MBWA KOKO'


Kamanda wa Polisi  mkoa wa Dodoma Gilles Muroto amesema kuwa hali ya usalama kwa mkoa huo kwa sasa imezidi kuimarika kutokana na ushirikiano anaopata kutoka kwa wananchi na sio kwa sababu alisema atatoa kipigo kipigo cha mbwa koko.

“Niwashukuru watanzania ambao wametuwezesha kuwa na hali ya ushwari tangu mliposikia kulikuwa na matishio ya maandamano yaliyeyuka, si kwasababu tulisema tutatoa kipigo cha mbwa koko ”-RPC Muroto

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
أحدث أقدم