WANANCHI JIJINI MWANZA WAPATIWA TIBA YA VIUNGO NA USHAURI BURE



 Ni katika viunga vya Hospitali ya Rufaa Bugando Jijini Mwanza ambapo Chama cha Watoa Tiba kwa Vitendo Tanzania TOTA, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kimetoa fursa kwa wananchi kupata huduma ya tiba ya viungo na ushauri bure.Pichani ni Mganga Mkuu Mkoa wa Mwanza, Dkt.Leonard Subi akifungua kongamano hilo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe.John Mongella.
Rais wa Chama cha Watoa Tiba kwa Vitendo Tanzania TOTA, bi.Neophita Lukiringi akizungumza kweny uzinduzi huo.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
أحدث أقدم