Video: JINSI MWINJILISTI KUTOKA MAREKANI ALIVYOWASHA MOTO JIJINI MWANZA

Mamia ya wananchi wanazidi kujitokeza kwa wingi kwenye mkutano mkubwa wa injili ulioandaliwa na kanisa la kimataifa la EAGT Lumala Mpya kwenye uwanja wa Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza. Mhubiri ni mwinjilist Rojas Matias kutoka Marekani huku mchungaji mwenyeji akiwa ni Dkt.Daniel Moses Kulola.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
أحدث أقدم