Picha: IVAN DON AZIKWA NA MAMILION YA PESA KABURINI KWAKE,NI BALAA SHUHUDIA HAPA

KUTOKA KWENYE MAZISHI UGANDA...... pesa zaidi ya 30 mil zamwagwa ndani ya kaburi la Ivan Don... Kabla ya maiti kuwekwa....!! Ni balaaaaa..... RIP IVAN DON ila ingekuwa hapa bongo ingebidi hilo kaburi lilindwe hata miezi mitatu mpaka hizo pesa ziharibike kwa joto maana la sivyo watu wangemfukuaje!..yaani asubuhi mwili ungekutwa pembeni..pesa ilivyongumu jamani
















Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
أحدث أقدم