Video Mpya Kabisa ya Bhudagala Mwana Malonja-Inaitwa Lyabhocha,Yumo Mchele Mchele na Papaa Kishaju



Leo Mei 30,2016 inakueletea Video mpya ya msanii maarufu wa nyimbo za asili anayeimba kwa lugha ya Kisukuma kutoka kanda ya Ziwa na Tanzania na Afrika Mashariki ,Bhudagala Mwana Malonja. Gwiji wa Nyimbo za asili Bhudagala Mwanamalonja anatoka Serengeti mkoa wa Mara.Wimbo unaitwa "Lyabhocha "
upo katika Albamu yake mpya 2016 yenye nyimbo sita inaitwa "Kishimbe"..Utazame hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
أحدث أقدم