Tazama Video Mpya ya Asili ya Bhudagala Mwana Malonja,Inaitwa "Rhobi",Inahusu Ukeketaji,Kawataja Akina CHACHA



Malunde1 blog inawajali wasanii wa Nyimbo za asili Leo Mei 30,2016 Malunde1 blog tunakutambulishia rasmi album mpya 2016 ya gwiji wa nyimbo za asili anayeimba kwa lugha ya kabila la Kisukuma kutoka kanda ya Ziwa nchini Tanzania.Msanii Bhudagala Mwanamalonja anatoka Serengeti mkoa wa Mara.Albamu yake mpya inaitwa "Kishimbe".Ninao hapa wimbo unaitwa Rhobi..Kazungumzia kuhusu suala la ukeketeji kwa watoto wa kike na madhara yake..Tazama Hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
أحدث أقدم