Baada ya kuwa na sakata la muda sasa la mkali nani kati diamond na Ali kiba team hizi zimefikia hadi kwa kina dada sasa mara baada ya Ali kiba kutoa wimbo wa Chekecha na vimwana kuji cheketua kupitia video Team Tiamond wakaona isiwe kesi na wao wakaporomosha mzigo wa nasema naye toka kwa Diamond akiwa na Mwana mama Khadija Kopa hapa napo kina dada wameanza kuwakilisha wimbo kwa kujirekodi wakimwaga mauno ya hatari tupu.
Ndipo
bila hiyana Tumeona heri tukuletee ushuhudie mwenyewe kati
ya hawa kina dada wa timu hizi mbili walio jirekodi video nani mkaliii TEAM KIBA VS TEAM DIAMOND!!!
JIONEE MWENYEWE HAPA