Breaking News!! WAKUTWA WAMENASANA WAKIFANYA MAPENZI KWENYE MLIMA WA DON BOSCO DIDIA SHINYANGA

 
Habari tulizozipata hivi punde ni kwamba mwanamme mmoja na mwanamke wamekutwa wamenasana wakati wakifanya mapenzi kichakani katika milima ya Don bosco iliyopo karibu na Shule ya Sekondari Donbosco katika kata ya Didia wilaya ya Shinyanga vijijini mkoani Shinyanga.

Habari zinasema kuwa watu hao wamekutwa wamenasana katika mlima huo jioni hii wakati wakivunja amri ya sita huku ikidaiwa kuwa mwanamke huyo ni mke wa mtu.

Inaelezwa kuwa mwanamme ni mwendesha bodaboda anayefanya safari zake kutoka Didia hadi Buyubi na mwanamke anadaiwa kuwa mkazi wa kijiji cha Chembeli.

Tutawaletea taarifa kamili hivi punde .....

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
أحدث أقدم