Serikali imesema itawachukulia hatua za kinidhamu watumishi wote wa
umma wanaokikuka sheria za kazi kwa kupiga soga ama kulewa wakati wa saa
za kazi.
Hayo yamesemwa bungeni mjini Dodoma na naibu waziri wa kazi na ajira Makongoro Mahanga wakati akijibu swali la mbunge wa tarime mh
nyambari chacha nyangwine aliyetakaa kufahamu mkakati wa serikali wa
kudhibiti nidhamu kazini kutokana na baadhi ya watumishi kulewa nyakati
za kazi.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553