ANGALIA PICHA AJALI_LORI LA MIZIGO LAANGUKIA HIACE




Dar es Salaam, Tanzania.Taarifa zilizotufikia punde, lori la mizigo ambalo limefunga tela limeangukia daladala (Hiace) katika eneo la Jet-Lumo na kusababisha Hiace hiyo kuwa nyang'anyang'a.
Daladala hilo lilikuwa limepaki kituoni, eneo la kona kwa ajili ya kusubiri abiria.
 Watu walioshudia ajali hiyo wanasema semi-trailer ilikuwa ikikata kona na kontena lilikuwa limepakiwa kuangukia daladala hiyo.

 Inaelezwa kuwa hakuna majeruhi wala vifo
Kama unavyoona kwenye picha jinsi daladala (Hiace)  ilivyopondwa na kontena hilo.
 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
أحدث أقدم