Hujafa hujaumbika!!!! TAZAMA PICHA ZA MTU WA AJABU NYAMA ZIMEFUNIKA KICHWA NA USO MZIMA AKIFANYIWA OPARESHENI

The 37-year-old suffers from neurofibromatosis, the name for a number of genetic conditions that cause swellings or lumps. Huang is said to have the world's worst recorded case of it

Huan Chuncai mwenye umri wa miaka 37 mkazi wa jimbo la Hunan anasumbuliwa na tatizo la nyama kukua kwa kasi katika kichwa chake hususan maeneo ya uso.Picha hapa chini zinaonesha akifanyiwa oparesheni

Huang Chuncai has undergone surgery to remove huge 3.3lb (1.5kg) tumours from his face
The operation was successful and he will now have two more to try and get his condition under control, Chinese media reported



Bwana mmoja aliyefahamika kwa jina la Huan Chuncai mwenye umri wa miaka 37 mkazi wa jimbo la Hunan anasumbuliwa na tatizo la nyama kukua kwa kasi katika kichwa chake hususan maeneo ya uso,ugonjwa ambao umetambulika kama neurofibromatosis ambao husababishwa na ukuaji wa cell ambalo ni moja ya matatizo ya kijetiksia.  kwa mujibu wa the dailymail kijana huyo amesumbuliwa na tatizo hilo toka angali mdogo akiwa na umri wa miaka minne.


Tayari amekwisha fanyiwa opesheni mara mbili kabla katika miaka tofauti tofauti (yaani mwaka 2007 na mwka 2008).

Huan amepoteza meno yake yote akiwa na umri wa miaka 25 hali inayompelekea apate shida kwenye kuongea pamoja na kula. 


Kijana huyo ambaye amekuwa akiitwa 'China's Elephant Man amekuwa akiishi kwa shida sana,kwa miaka mitano iliyopita nyama hizo zilikuwa na uzito wa  33lb (15kg) na kumsababishia matatizo ya uti wa mgongo kupelekea maumivu makali anayoyapata kutokana na kuongezeka kwa nyama hizo. 

Huan amefanyiwa opesheni tena kuondoa nyama hizo kwa sasa zilizokuwa na uzito wa 3.3lb (1.5kg). 

Opesheni yake huwa ni ya hatari sana kwani hupelekea kuvuja kwa damu nyingi sana mwili mwake.

Credit-This day magazine

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
أحدث أقدم