Mheshimiwa Edward Lowassa leo Jumanne 28/07/2015 akiambatana na familia yake, katika mkutano na waandishi wa habari na wanachama wa Chadema, katika hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam ametangaza rasmi kuhamia Ukawa
ANGALIA PICHA MHESHIMIWA LOWASSA AKIKABIDHIWA KADI YA CHADEMA BAADA YA KUIMWAGA CCM