Thursday, August 4, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua, Eric Hamissi kuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) ...
CHALAMILA ATUA RASMI KAGERA
Makabidhiano ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera kati ya Meja Jenerali Charles Mbuge (kulia) na Albert John Chalamila (kulia) yakiendelea. H...
SERIKALI YATANGAZA KUTOA VITAMBULISHO VYA TAIFA 'NIDA' MILIONI 10
Mfano wa vitambulisho vya NIDA Naibu Katibu Mkuu akizungumza kwenye kikao cha halmashauri kuu ya CCM wilaya Kigoma Vijijini akiwa kwenye zia...
RAIS SAMIA ALETA MAFURIKO YA WATALII
* Zitto atabiri utalii kuingiza dola bilioni 3 kwa mwaka, sawa na Shilingi trilioni 7 * Royal Tour yaleta kishindo * Watalii wafurika kila k...
HER DIGNITY, AGAPE KUPAMBANA NA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO MAENEO YA MGODI WA MWADUI
Mkurugenzi wa Taasisi ya HER DIGNITY Annagrace Rwehumbiza akizungumza kwenye kuhitimisha mafunzo ya MTAKUWWA ngazi ya vijiji kwenye maeneo a...
TBS YAENDELEA KUTOA ELIMU KWENYE MAONESHO YA NANE NANE JIJINI MWANZA
emmanuel mbatilo
Thursday, August 04, 2022
0
MENEJA wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya Ziwa Mhandisi Joseph Mwaipaja, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwe...
KAMATA MCHONGO HUU WA KIWANJA OFA YA NANE NANE!! KIWANJA CHAKO KIPO BEI SAWA NA BURE
Ni Ofa Kabambe ya Nane Nane 2022 🔥🔥🔥🔥 Sasa unaweza kulipia kidogo kidogo hadi miezi 12. Ndiyo!! ni miezi 12 yaani mwaka mzima bila dha...
MISA TAN YAKUSANYA MAONI NA MAPENDEKEZO YA WADAU KUBORESHA RASIMU YA UCHAMBUZI WA SHERIA ZA HABARI
Mkurugenzi wa utetezi na maboresho- LHRC, Mwanasheria Fulgence Massawe akizungumza kwenye mkutano wa kukusanya maoni na mapendekezo ya kubor...
SPIKA DKT.TULIA APONGEZA JITIHADA ZA BENKI YA NBC KUINUA SEKTA YA KILIMO
emmanuel mbatilo
Thursday, August 04, 2022
0
Mkuu wa kitengo cha wateja wadogo wadogo, Lariba na wakulima kutoka Benki ya NBC, Bw Raymond Urassa (kushoto) akielezea kwa Spika wa Bunge l...
TEA KUTUMIA BILIONI 8.9 KUBORESHA MIUNDOMBINU YA ELIMU NCHINI
emmanuel mbatilo
Thursday, August 04, 2022
0
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Bi. Bahati I. Geuzye akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 4,2022 kuhusu Utekezaj...
HUDUMA ZA BENKI YA EXIM ZAWAVUTIA WADAU WA KILIMO MAONESHO YA NANENANE
emmanuel mbatilo
Thursday, August 04, 2022
0
Meneja wa Benki ya Exim Tawi la Mbeya Bw Peter Mwamala (wa pili kulia) akizungumza na wadau wa kilimo waliotembelea banda la maonesho ya kil...
POLISI, WAANDISHI WA HABARI SHINYANGA WAKUTANA KUJADILI ULINZI NA USALAMA KWA WANAHABARI
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Leonard Nyandahu akizungumza leo Alhamisi Agosti 4,2022 wakati wa Mdahalo wa Awamu ya Pili wa Uli...
UPANGAJI SAFU KASULU UCHAGUZI MKUU 2025 WAMCHEFUA NAIBU KATIBU MKUU CCM
Naibu Katibu Mkuu huyo wa CCM Bara Christina Mndeme (aliyesimama katikati akizungumza na wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Kasulu ...
WAZIRI NDALICHAKO ATOA MWELEKEO WA WIZARA YAKE
Waziri wa nchi ofisi ya waziri Mkuu kazi,ajira,vijana na watu wenye ulemavu Profesa Joyce Ndalichako akizungumza na waandishi wa habari akit...
Wednesday, August 3, 2022
WAKULIMA WA SOYA WASHAURIWA KUTUMIA MBOLEA YA ASILI
emmanuel mbatilo
Wednesday, August 03, 2022
0
**************** Na Mwandishi Wetu-Arusha Wakulima wa zao la Soya (soyalishe) nchini wameshauriwa kutumia mbolea asilia ili kuongeza uzalish...
BANDA LA TCRA KIMBILIO KWA WATUMIAJI WA HUDUMA ZA MAWASILIANO
emmanuel mbatilo
Wednesday, August 03, 2022
0
Bw. Semu Mwakyanjala-Afisa Mawasiliano Mwandamizi Mkuu kutoka Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma, akitoa Elimu na msaada kwa wanan...
TCDC KUTUMIA MFUMO WA KIDIGITALI KUSAJILI WANACHAMA VYAMA VYA USHIRIKA
emmanuel mbatilo
Wednesday, August 03, 2022
0
NAIBU Mrajis wa Vyama vya Ushirika kutoka tume ya maendeleo ya ushirika Bw. Collins Nyakunga ,akizungumza na waandishi wa habari kwenye ba...
MASELE ASHINDA KWA KISHINDO KURA ZA MKUTANO MKUU WA WILAYA YA SHINYANGA MJINI
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Masele ameshinda kwa kura 69 kati ya kura 85 katika uchaguzi wa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wilaya...
WANAOSAIDIA OMBA OMBA JIJINI DAR ES SALAAM KUKAMATWA
Jiji la Dar es Salaam limepiga marufuku watu kuwasaidia ombaomba waliokithiri katika maeneo mbalimbali jijini humo huku hatua kali zikitang...
Author Details
Malunde 1 blog ni blog ya Kiswahili maarufu duniani kwa habari za Matukio, Siasa, Magazeti, Nyimbo za asili na habari za kusisimua.