MALUNDE 1 BLOG - All Post

Tuesday, July 20, 2021

BILIONEA BOSI WA  KAMPUNI YA AMAZON ARUKA ANGA LA JUU ZAIDI KWA ROKETI YAKE

BILIONEA BOSI WA KAMPUNI YA AMAZON ARUKA ANGA LA JUU ZAIDI KWA ROKETI YAKE

Roketi aina ya Blue Origin, ikiwa na Jeff Bezos na wafanyakazi ndani, ikiwa inapaa kutoka ardhini. Tajiri mkubwa duniani na Muanzilishi na M...
WAHALIFU 5429 WAKAMATWA NA JESHI LA POLISI TANZANIA

WAHALIFU 5429 WAKAMATWA NA JESHI LA POLISI TANZANIA

MAHAKAMA YAAMURU MIILI YA WATU 61 WASIOJULIKAN IZIKWE HARAKA IWEZEKANAVYO

MAHAKAMA YAAMURU MIILI YA WATU 61 WASIOJULIKAN IZIKWE HARAKA IWEZEKANAVYO

Mahakama Kuu nchini Kenya imeamuru miili 61 ya watu wasiotambulika katika mochwari mbali mbali za hospitali za kaunti ya Kisumu zizikwe hara...
MKUU WA MKOA WA MWANZA APIGA MARUFUKU MIKUSANYIKO

MKUU WA MKOA WA MWANZA APIGA MARUFUKU MIKUSANYIKO

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel amepiga marufuku mikusanyiko yote isiyo ya lazima kama njia ya kukabiliana na maambukizi ya virusi vy...
EWURA YATOA MAFUNZO KWA TAASISI YA MAENDELEO YA VIZIWI TANZANIA

EWURA YATOA MAFUNZO KWA TAASISI YA MAENDELEO YA VIZIWI TANZANIA

Na Dotto Kwilasa,Dodoma. MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetoa mafunzo ya uelewa wa udhibiti wa masuala ya Nishat...
NAMNA KIWANGADOCTORS WALIVYONUSURU BIASHARA YANGU KWA MUDA  MFUPI  SANA

NAMNA KIWANGADOCTORS WALIVYONUSURU BIASHARA YANGU KWA MUDA MFUPI SANA

Kwa majina naitwa Jackson Kondowe, ni mkazi wa jijini Dar es Salaam katika wilaya ya Ubungo mimi ni mfanyabishara wa duka la vyakula ambapo ...
JAJI MKUU PROF. JUMA AKIPONGEZA CHUO CHA UONGOZI WA MAHAKAMA LUSHOTO KUANDAA KITABU CHA MKUSANYIKO WA MASHAURI YA WATOTO

JAJI MKUU PROF. JUMA AKIPONGEZA CHUO CHA UONGOZI WA MAHAKAMA LUSHOTO KUANDAA KITABU CHA MKUSANYIKO WA MASHAURI YA WATOTO

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma Mwakilishi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa linaohudumia Watoto (UNICEF), Bi. Sampath...
Wimbo Mpya: MBOSSO – MTAALAM

Wimbo Mpya: MBOSSO – MTAALAM

 Wimbo Mpya Mbosso – Mtaalam
KAMANDA MULIRO : USIMILIKI SILAHA KAMA HUNA SIFA

KAMANDA MULIRO : USIMILIKI SILAHA KAMA HUNA SIFA

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesisitiza kuwa sio sifa kumiliki silaha endapo huna sifa za kuimiliki.
NAIBU WAZIRI WA ARDHI AAGIZA MAMLAKA ZA UPANGAJI NCHINI KUANDAA MIPANGO KABAMBE YA MAENEO YAO

NAIBU WAZIRI WA ARDHI AAGIZA MAMLAKA ZA UPANGAJI NCHINI KUANDAA MIPANGO KABAMBE YA MAENEO YAO

Na Munir Shemweta, SUMBAWANGA Naibu Waziri wa Ardhi nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ametoa rai kwa mamlaka za upangaj...
WAZIRI BITEKO AUAGIZA MGODI KULIPA DENI LA KIJIJI NDANI YA SIKU 60

WAZIRI BITEKO AUAGIZA MGODI KULIPA DENI LA KIJIJI NDANI YA SIKU 60

 Na. Steven Nyamiti, Mara Waziri wa Madini, Doto Biteko ameuagiza uongozi wa kampuni ya uchimbaji wa madini ya Dhahabu MMG GOLD LIMITED ...
HALMASHAURI ZATAKIWA KUANDAA HATI ZISIZOPUNGUA 100 KILA MWEZI

HALMASHAURI ZATAKIWA KUANDAA HATI ZISIZOPUNGUA 100 KILA MWEZI

Na Munir Shemweta, SUMBAWANGA Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ametoa agizo kwa kila halmashauri ...
HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMANNE JULAI 20,2021

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMANNE JULAI 20,2021

Monday, July 19, 2021