MALUNDE 1 BLOG - All Post

Wednesday, June 9, 2021

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATANO JUNI 9,2021

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATANO JUNI 9,2021

FAMILIA YA MUME WANGU  MAREHEMU INANIFUATILIA KUNIPOKONYA URITHI WANGU WA MAMILIONI YA FEDHA

FAMILIA YA MUME WANGU MAREHEMU INANIFUATILIA KUNIPOKONYA URITHI WANGU WA MAMILIONI YA FEDHA

  Naitwa Njeri na mwaka mmoja uliopita nilipoteza mume wangu wa miaka 10 baada ya kushikwa na mshtuko wa moyo. Mume wangu alikuwa mtu bora z...

Tuesday, June 8, 2021

RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI JIONI HII

RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI JIONI HII

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan
MAZISHI YA MWILI WA MZINDAKAYA KUFANYIKA SUMBAWANGA..CCM YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI

MAZISHI YA MWILI WA MZINDAKAYA KUFANYIKA SUMBAWANGA..CCM YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI

Dk Chrisant Majiyatanga Mzindakaya enzi za uhai wake Na Walter Mguluchuma KTPC,Sumbawanga. Taarifa za simanzi za kifo cha mwanasiasa mkongw...
MSANII KIVURANDE JUNIOR ALAZWA HOSPITALI

MSANII KIVURANDE JUNIOR ALAZWA HOSPITALI

Mkali wa muziki wa kibaokata hapa nchini Kivurande Junior amehamishiwa katika Hospitali ya Mwananyamala baada ya hali yake kubadilika wakati...
Wimbo Mpya : MCHELE MCHELE - BUCHOJI

Wimbo Mpya : MCHELE MCHELE - BUCHOJI

Hii hapa ngoma ya Msanii wa Nyimbo za asili Mchele Mchele inaitwa Buchoji
RAIS SAMIA ATOA AGIZO MAITI KUZUIWA MOCHWARI KISA DENI LA MATIBABU

RAIS SAMIA ATOA AGIZO MAITI KUZUIWA MOCHWARI KISA DENI LA MATIBABU

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemuelekeza Waziri wa Afya,  Dk Dorothy Gwajima kuweka mpango mzuri wa ndugu kulipa deni la hospit...
BENKI YA DUNIA YAAHIDI KUISAIDIA TANZANIA KUKABILIANA NA ATHARI ZA CORONA

BENKI YA DUNIA YAAHIDI KUISAIDIA TANZANIA KUKABILIANA NA ATHARI ZA CORONA

Na. Peter Haule na Josephine Majula, WFM, Dodoma Benki ya Dunia (WB) imefungua dirisha kwa Tanzania la kusaidia kukabiliana na athari za...
LUKUVI AAGIZA KUFANYIKA UPEKUZI MASHAMBA 86 MVOMERO

LUKUVI AAGIZA KUFANYIKA UPEKUZI MASHAMBA 86 MVOMERO

Na Munir Shemweta, WANMM MVOMERO Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ameagiza kufanyika upekuzi wa mashamba 86 yasiyoendelezwa ...
IGP SIRRO ATANGAZA OPERESHENI YA MWEZI MMOJA KUSAKA WAHALIFU NCHI NZIMA

IGP SIRRO ATANGAZA OPERESHENI YA MWEZI MMOJA KUSAKA WAHALIFU NCHI NZIMA

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Simon Sirro , ametangaza operesheni ya mwezi mmoja ya kusaka wahalifu nchini.
TMDA YATAKA WATANZANIA WAWE WAANGALIFU KUHUSU  DAWA ZA ANTIBIOTIKI

TMDA YATAKA WATANZANIA WAWE WAANGALIFU KUHUSU DAWA ZA ANTIBIOTIKI

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba Nchini (TMDA), Bw. Adam Fimbo ameitaka Jamii kuwa watambuzi kwenye kuzingatia dawa halis...
WIZARA YA ARDHI,TAA,TCAA NA MIPANGO MIJI DODOMA KUONDOA KERO ZA ARDHI

WIZARA YA ARDHI,TAA,TCAA NA MIPANGO MIJI DODOMA KUONDOA KERO ZA ARDHI

Na Mwandishi Wetu, Dodoma WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya Makazi, Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini (TAA), Mamlaka ya Usafiri w...
SERIKALI YASISITIZA MIONGOZO YA YA KUJIKINGA NA CORONA IZINGATIWE

SERIKALI YASISITIZA MIONGOZO YA YA KUJIKINGA NA CORONA IZINGATIWE

Na.Catherine Sungura,Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesisitiza miongozo yote iliyo...
SERIKALI KUTANGAZA ZABUNI YA KUPELEKA MAWASILIANO MAENEO YA MIPAKANI

SERIKALI KUTANGAZA ZABUNI YA KUPELEKA MAWASILIANO MAENEO YA MIPAKANI

Na Faraja Mpina, Dodoma Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) inatarajia kutangaza zabuni ya awamu ya sita yenye lengo ...
RAIS SAMIA KUFANYA ZIARA YA SIKU TATU JIJINI MWANZA

RAIS SAMIA KUFANYA ZIARA YA SIKU TATU JIJINI MWANZA

Rais Samia Suluhu anatarajiwa kuanza ziara ya kiserikali ya siku tatu mkoani Mwanza, ambapo pamoja na mambo mengine atazindua na kuweka ji...
WASANII WA KIZAZI KIPYA KUPAMBA UMISSETA, UMITASHUMTA

WASANII WA KIZAZI KIPYA KUPAMBA UMISSETA, UMITASHUMTA

  Dkt. Hassan Abbasi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni Sanaa na Michezo akifanya  Mahojiano  kwenye kituo cha Redio cha Safari FM m...
WAKULIMA WADOGO WADOGO KUNUFAIKA NA MIKOPO YA KILIMO KUPITIA BENKI YA NBC

WAKULIMA WADOGO WADOGO KUNUFAIKA NA MIKOPO YA KILIMO KUPITIA BENKI YA NBC

Meneja wa Maendeleo ya Biashara ya Benki ya   NBC Tanga Aljiran Mbwani akizungumza na waandishi wa habari wakati wa maonyesho ya biashara ...
TBS YAHIMIZA WANANCHI KUTEKELEZA WAJIBU WAO KATIKA MNYORORO WA CHAKULA

TBS YAHIMIZA WANANCHI KUTEKELEZA WAJIBU WAO KATIKA MNYORORO WA CHAKULA

  Kaimu Mkurugenzi wa Udhibiti Ubora (TBS), Bw.Gervas Kaisi akizungumza na habari kwenye ofisi za Makao Makuu ya TBS Jijini Dar es Salaam ...
HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMANNE JUNI 8,2021

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMANNE JUNI 8,2021

DKT. MAHENGE AWATAKA WATUMISHI KUSHIRIKIANA ,WANA CCM KUVUNJA MAKUNDI

DKT. MAHENGE AWATAKA WATUMISHI KUSHIRIKIANA ,WANA CCM KUVUNJA MAKUNDI

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Binilith Mahenge  akiongea na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama katika ziara yake ya kikazi ya kuka...

Monday, June 7, 2021

BENKI YA MAENDELEO TIB YANG'AA KWENYE MAONESHO YA BIASHARA TANGA

BENKI YA MAENDELEO TIB YANG'AA KWENYE MAONESHO YA BIASHARA TANGA

Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga, Pili Hassani Mnyima akimkabidhi Cheti Afisa Mwandamizi wa Miradi kutoka Benki ya Maendeleo TIB, Sonia Mlak...
BENKI YA CRDB, NHIF & KACU WATIA SAINI YA MAKUBALIANO YA BIMA ZA AFYA KWA WAKULIMA

BENKI YA CRDB, NHIF & KACU WATIA SAINI YA MAKUBALIANO YA BIMA ZA AFYA KWA WAKULIMA

Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika Kahama (KACU) , Emmanuel Cherehani (kushoto)  Mkurugenzi Mkuu wa Biashara Benki ya CRDB,  Dkt.  Josep...
HESLB KUFUNGUA DIRISHA LA MAOMBI YA MIKOPO JULAI MOSI 2021

HESLB KUFUNGUA DIRISHA LA MAOMBI YA MIKOPO JULAI MOSI 2021

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza kuwa dirisha la maombi ya mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu kwa mwaka 2...
WAZIRI MKUU KUFUNGUA MASHINDANO UMITASHUMTA NA UMISSETA 2021 MTWARA

WAZIRI MKUU KUFUNGUA MASHINDANO UMITASHUMTA NA UMISSETA 2021 MTWARA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa, Kassim Majaliwa Majaliwa kesho Juni 8, 2021 anatarajia kufungua Mashindano ya ...
BALOZI MULAMULA AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA DUNIA KANDA YA AFRIKA

BALOZI MULAMULA AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA DUNIA KANDA YA AFRIKA

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugen...
RC SHINYANGA DR. SENGATI, RAS MPYA BALOZI  DR. BATILDA WAKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI..WAANIKA MIKAKATI KABAMBE

RC SHINYANGA DR. SENGATI, RAS MPYA BALOZI DR. BATILDA WAKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI..WAANIKA MIKAKATI KABAMBE

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Philemon Sengati na Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Buriani leo Jumatatu Ju...
WAFANYAKAZI WA MGODI WA BUZWAGI WAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI KWA KUPANDA MITI YA MATUNDA

WAFANYAKAZI WA MGODI WA BUZWAGI WAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI KWA KUPANDA MITI YA MATUNDA

Wafanyakazi wa mgodi  wa Barrick wa Buzwagi wameadhimisha Siku ya Mazingira Duniani mwaka 2021 kwa kupanda miti ya maembe katika eneo  la mg...
DKT NDUGULILE AHIMIZA UBORESHAJI WA MIFUMO MBALIMBALI YA USIMAMIZI WA HUDUMA ZA MAWASILIANO

DKT NDUGULILE AHIMIZA UBORESHAJI WA MIFUMO MBALIMBALI YA USIMAMIZI WA HUDUMA ZA MAWASILIANO

Na Mwandishi Wetu SERIKALI imehimiza uboreshaji wa Mifumo mbalimbali ya usimamizi wa huduma za Mawasiliano ili kuhakikisha kunakuwa na U...
WAZIRI MKENDA AITAKA TFRA KUANDAA MKAKATI WA UPATIKANAJI WA MBOLEA KWA BEI NAFUU

WAZIRI MKENDA AITAKA TFRA KUANDAA MKAKATI WA UPATIKANAJI WA MBOLEA KWA BEI NAFUU

Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dar es salaam Bodi na Menejimenti ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) imetakiwa kuanisha...
TAWA KANDA YA MAGHARIBI YAKAMATA BUNDUKI 24 NA MENO MANNE YA TEMBO KATIKA DORIA YA KUSAKA MAJANGILI

TAWA KANDA YA MAGHARIBI YAKAMATA BUNDUKI 24 NA MENO MANNE YA TEMBO KATIKA DORIA YA KUSAKA MAJANGILI

NA TIGANYA VINCENT MAMLAKA ya ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania(TAWA) Kanda ya Magharibi imefanikiwa kukamata bunduki za aina mbalim...