MALUNDE 1 BLOG - All Post

Monday, January 13, 2020

MTIBWA SUGAR MABINGWA WA KOMBE LA MAPINDUZI 2020....WAICHAPA SIMBA SC 1-0 ZANZIBAR

MTIBWA SUGAR MABINGWA WA KOMBE LA MAPINDUZI 2020....WAICHAPA SIMBA SC 1-0 ZANZIBAR

Na Saada Akida, ZANZIBAR MTIBWA Sugar ndio mabingwa wa Kombe la Mapinduzi mwaka 2020, baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya mabingwa wa ...
WAZIRI MKUU MAHAKAMA KAMILISHENI UJENZI WA MIUNDOMBINU

WAZIRI MKUU MAHAKAMA KAMILISHENI UJENZI WA MIUNDOMBINU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa uongozi wa Mahakama nchini uhakikishe unakamilisha ujenzi wa miundombinu ya Mahakama ili ku...
Picha: AJALI YA BASI LA BRIGHT LINE,GARI NDOGO NA PIKIPIKI YAUA WATU WAWILI NA KUJERUHI 20 SHINYANGA

Picha: AJALI YA BASI LA BRIGHT LINE,GARI NDOGO NA PIKIPIKI YAUA WATU WAWILI NA KUJERUHI 20 SHINYANGA

Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Watu wawili wamefariki dunia na wengine 20 kujeruhiwa baada ya gari lenye namba za usajili T.43...
WAZIRI MKUU: TAKUKURU KAMILISHENI UCHUNGUZI MAPEMA

WAZIRI MKUU: TAKUKURU KAMILISHENI UCHUNGUZI MAPEMA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameutaka uongozi wa Taasisi ya Kuzua na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ukamilishe mapema uchunguzi dhidi ya...
MEYA MWITA AIFUTA KESI YAKE YA KUPINGA KUVULIWA UMEYA

MEYA MWITA AIFUTA KESI YAKE YA KUPINGA KUVULIWA UMEYA

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeifuta kwa gharama kesi ya Meya wa jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita ya kutaka kusitisha mchakato wa...
WALIMU WATATU WAUAWA KWA SHAMBULIZI LA KIGAIDI KENYA

WALIMU WATATU WAUAWA KWA SHAMBULIZI LA KIGAIDI KENYA

Watu watatu wameuawa baada ya wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Al Shabab kuvamia mji wa Garisa kaskazini mwa Kenya katika mpaka wa Ken...
MASHAMBULIZI YA ROKETI YAFANYWA KWENYE MAKAZI YA WANAJESHI WA MAREKANI

MASHAMBULIZI YA ROKETI YAFANYWA KWENYE MAKAZI YA WANAJESHI WA MAREKANI

Jeshi la Iraq limesema karibu makombora sita yamerushwa katika kambi ya kijeshi ya Balad kaskazini mwa Mji Mkuu wa Baghdad leo na kuwaj...
TICTS YAFANYA BONANZA LA MICHEZO KWA WAFANYAKAZI WAKE KUIMARISHA AFYA

TICTS YAFANYA BONANZA LA MICHEZO KWA WAFANYAKAZI WAKE KUIMARISHA AFYA

Wafanyakazi wa Kampuni ya Kimataifa ya kuhudumia shehena ya kontena bandarini (TICTS), mwishoni mwa wiki walikusanyika kwa pamoja kufa...
HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU JANUARI 13,2020

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU JANUARI 13,2020

Sunday, January 12, 2020

WAZIRI  KALEMANI AKAGUA TENA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UMEME WA MAJI WA JULIUS NYERERE MW 2115

WAZIRI KALEMANI AKAGUA TENA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UMEME WA MAJI WA JULIUS NYERERE MW 2115

WAZIRI wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, amefanya ziara ya kikazi kukagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa kufua umeme wa maji wa J...
YANGA YATANGAZA KOCHA MPYA

YANGA YATANGAZA KOCHA MPYA

Kocha Riedoh Berdien Klabu ya Yanga imethibitisha kuingia mkataba na kocha Riedoh Berdien raia wa Afrika Kusini kuja kuongeza nguvu katik...
NYALANDU:TUTAHAKIKISHA CHADEMA TUNASHINDA NA KULIONGOZA JIJI LA DODOMA MWAKA HUU 2020

NYALANDU:TUTAHAKIKISHA CHADEMA TUNASHINDA NA KULIONGOZA JIJI LA DODOMA MWAKA HUU 2020

Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA]kanda ya kati,Lazaro Nyalandu amesema ka...
NAIBU WAZIRI BASHE ATAKA WAKULIMA WA MAHINDI WASIINGILIWE KWENYE UUZAJI WA MAZAO YAO

NAIBU WAZIRI BASHE ATAKA WAKULIMA WA MAHINDI WASIINGILIWE KWENYE UUZAJI WA MAZAO YAO

Na Amiri Kilagalila-Njombe Serikali imeendelea kuwapa uhuru wakulima wa zao la mahindi nchini kwa kuuza mazao yao sehemu yoyote na k...
SERIKALI NA WADAU WAKUTANA KUANDAA TAARIFA YA NCHI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA KIMATAIFA WA KUTOKOMEZA AINA ZOTE ZA UBAGUZI DHIDI YA WANAWAKE

SERIKALI NA WADAU WAKUTANA KUANDAA TAARIFA YA NCHI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA KIMATAIFA WA KUTOKOMEZA AINA ZOTE ZA UBAGUZI DHIDI YA WANAWAKE

Na Mwandishi Wetu Morogoro Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Bi. Regina Chonjo amewataka wadau wa haki na utetezi wa wanawake kuendeleza juhudi za ...
Picha: RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AHUTUBIA KILELE CHA MIAKA 56 YA MAPINDUZI ZANZIBAR

Picha: RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AHUTUBIA KILELE CHA MIAKA 56 YA MAPINDUZI ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akikagua gwaride Maalum la Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapind...
SERIKALI YAONYA WANANCHI WANAOJENGA MIJINI BILA KUFUATA UTARATIBU

SERIKALI YAONYA WANANCHI WANAOJENGA MIJINI BILA KUFUATA UTARATIBU

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi ameonya wananchi wanaojenga mijini bila kufuata utaratibu.
RAS SHINYANGA : VIONGOZI WA UMMA EPUKENI MIGONGANO YA KIMASLAHI KATIKA VITUO VYENU VYA KAZI

RAS SHINYANGA : VIONGOZI WA UMMA EPUKENI MIGONGANO YA KIMASLAHI KATIKA VITUO VYENU VYA KAZI

Na Salvatory Ntandu  Mmomonyoko wa maadili na Migongano ya maslahi kwa Viongozi kwa baadhi ya viongozi wa mashirika na taasisi za Umma mkoa...
TANGA UWASA KUJA NA TEKNOLOJIA YA UFUNGAJI WA MITA ZA MAJI ZENYE UWEZO WA KUJISOMA ZENYEWE

TANGA UWASA KUJA NA TEKNOLOJIA YA UFUNGAJI WA MITA ZA MAJI ZENYE UWEZO WA KUJISOMA ZENYEWE

  Afisa Ankra wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Daudi Mkumbo  akizungumza katika mkutano wa wananchi ...
MAMIA YA WANANCHI IRAN WAANDAMANA KULAANI KUANGUSHWA NDEGE YA ABIRIA YA UKRAINE

MAMIA YA WANANCHI IRAN WAANDAMANA KULAANI KUANGUSHWA NDEGE YA ABIRIA YA UKRAINE

Maandamano makubwa yameripotiwa usiku wa Jumamosi kwenye maeneo kadhaa ya mji mkuu wa Iran Tehran, baada ya nchi hiyo kukiri kuwa kombora l...