MALUNDE 1 BLOG - All Post

Thursday, December 5, 2019

Picha :  AGAPE, POLISI WAADHIMISHA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA

Picha : AGAPE, POLISI WAADHIMISHA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA

Shirika lisilo la kiserikali Agape Aids Cotrol Program la mkoani Shinyanga, limefanya maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kij...
MSHINDI WA PROMOSHENI YA TIGO CHEMSHA BONGO 2019 AKABIDHIWA GARI LAKE

MSHINDI WA PROMOSHENI YA TIGO CHEMSHA BONGO 2019 AKABIDHIWA GARI LAKE

Mkazi wa Zanzibar, Shaban Khamis Ali(49) akifurahia mara baada ya kukabidhiwa gari yake aina Renault Kwid yenye thamani ya 23m/- ba...
BINTI AFARIKI AKIMUOKOA MWANAUME KWENYE MTO ULIOJAA MAJI

BINTI AFARIKI AKIMUOKOA MWANAUME KWENYE MTO ULIOJAA MAJI

Waokoaji nchini Kenya wameuopoa mwili wa kijana mmoja aliyekufa maji alipokuwa akijaribu kumuokoa mwananume ambaye alikuwa akiomba usaidi...
MAJINA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2020

MAJINA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2020

Wanafunzi 701,038 sawa na asilimia 92.27 waliofaulu mtihani wa darasa la saba mwaka 2019 wamechaguliwa kuendelea na kidato cha kwanza mwa...
Video : NG'WANA MALINGITA - BHASHABHIKI

Video : NG'WANA MALINGITA - BHASHABHIKI

Hii hapa video ya msanii Amos Ng'wana Malingita inaitwa Bhashabhiki.
Video Mpya : NGELELA  - MOTO GWA MBELELE

Video Mpya : NGELELA - MOTO GWA MBELELE

Nakualika kutazama video ya Manju Ngelela inaitwa Moto Gwa Mbelele...Itazame hapa chini
DK KALEMANI : MARUFUKU NYUMBA ZA TEMBE NA ZILIZOEZEKWA KWA NYASI KUTOWEKWA UMEME

DK KALEMANI : MARUFUKU NYUMBA ZA TEMBE NA ZILIZOEZEKWA KWA NYASI KUTOWEKWA UMEME

NA SALVATORY NTANDU Serikali imesema itachukua hatua kali za kisheria kwa wakandarasi wanaotekeleza miradi  ya  REA katika maeneo m...
 KABENDERA ATAKIWA KWENDA MWENYEWE KWA DPP ILI KUJUA HATIMA YAKE

KABENDERA ATAKIWA KWENDA MWENYEWE KWA DPP ILI KUJUA HATIMA YAKE

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeuambia upande wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwandishi wa Habari, Erick Kaben...
CUF KUREJESHA OFISI ZAKE ZOTE ZILIZOCHUKULIWA NA CHAMA CHA ACT WAZALENDO

CUF KUREJESHA OFISI ZAKE ZOTE ZILIZOCHUKULIWA NA CHAMA CHA ACT WAZALENDO

Chama cha Wananchi CUF kimesema kuwa kimeazimia kurejesha ofisi zake zote zilizochukuliwa na chama cha ACT Wazalendo hususan Visiwani Zanzib...
HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMIS DESEMBA 5,2019

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMIS DESEMBA 5,2019

Video : MDEMA NGELELA - BHUHABHI NVA

Video : MDEMA NGELELA - BHUHABHI NVA

Tazama video ya Msanii Mdema Ngelela inaitwa Bhuhabi Nva.

Wednesday, December 4, 2019

MKURUGENZI AZIMIA BAADA YA KUBANWA NA WAZIRI JAFO

MKURUGENZI AZIMIA BAADA YA KUBANWA NA WAZIRI JAFO

Na Sharon Sauwa, Mwananchi  Mkurugenzi wa kampuni ya Scol Building Contractors Limited ameanguka na kuzirai mbele ya Waziri wa Tamisemi...
JAMAA ALIYEIBA CHUPI 100 ZA  WANAWAKE TOFAUTI TOFAUTI AKUTWA AMEVAA MBILI

JAMAA ALIYEIBA CHUPI 100 ZA WANAWAKE TOFAUTI TOFAUTI AKUTWA AMEVAA MBILI

Mwanaume mmoja mwenye tabia ya Wizi wa nguo za ndani za wanawake, anayejulikana kwa jina la Mukoshi Chipukosia (36), kutoka kijiji ch...
COSTECH YATOA MAFUNZO YA HAKI MILIKI KWA WABUNIFU WALIOSHINDA MASHINDANO YA UBUNIFU

COSTECH YATOA MAFUNZO YA HAKI MILIKI KWA WABUNIFU WALIOSHINDA MASHINDANO YA UBUNIFU

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Uendeleshaji na Uhaulishaji wa Teknolojia (COSTECH) Dkt.Athuman Mgumia katika akieleza waandishi wa habari...
WATU SITA WAFARIKI DUNIA, 30 HAWAJULIKANI BAADA YA MAKAZI YAO KUSOMBWA NA MAPOROMOKO YA UDONGO UGANDA

WATU SITA WAFARIKI DUNIA, 30 HAWAJULIKANI BAADA YA MAKAZI YAO KUSOMBWA NA MAPOROMOKO YA UDONGO UGANDA

Picha ya maporomoko yaliyotokea mwaka 2010, nchini Uganda. Watu sita wamefariki na watu wengine zaidi ya 30 hawajulikani waliko baada y...
MKUU WA MKOA WA KAGERA APIGA MARUFUKU MISHIKAKI

MKUU WA MKOA WA KAGERA APIGA MARUFUKU MISHIKAKI

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia jenerali Marco Gaguti, akichangia damu.
KIJANA WA MIAKA 22 ATUPWA JELA MIAKA 30 KWA KUMBAKA MWANAMKE WA MIAKA 27

KIJANA WA MIAKA 22 ATUPWA JELA MIAKA 30 KWA KUMBAKA MWANAMKE WA MIAKA 27

Mahakama ya Wilaya ya Pangani mkoani Tanga, imemuhukumu Kijana Mahadi Elias maarufu kwa jina Maiko, mwenye umri wa miaka 22 mkazi wa ...
CHADEMA WAFUNGUKA BAADA YA SUMAYE KUTANGAZA KUKIHAMA CHAMA HICHO

CHADEMA WAFUNGUKA BAADA YA SUMAYE KUTANGAZA KUKIHAMA CHAMA HICHO

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kuwa kimeshtushwa na kauli za  mwanachama wake ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu, Fred...
ZITTO KABWE AKANA KUFANYA MAZUNGUMZO YOYOTE NA SUMAYE

ZITTO KABWE AKANA KUFANYA MAZUNGUMZO YOYOTE NA SUMAYE

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema hawajafanya mazungumzo yoyote na waziri mkuu mstaafu, Frederick Sumaye ambaye ...