MALUNDE 1 BLOG - All Post

Sunday, December 1, 2019

LAZARO NYALANDU ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA CHADEMA KANDA YA KATI

LAZARO NYALANDU ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA CHADEMA KANDA YA KATI

Aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ameshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Chadema, Kanda ya Kati kwa kupata kura 60 kati y...
WAZIRI MWAKYEMBE ATUMA SALAMU ZA POLE KWA MKUU WA MKOA WA TANGA KUFUATIA VIFO VYA MASHABIKI WA BONDIA HASSAN MWAKINYO

WAZIRI MWAKYEMBE ATUMA SALAMU ZA POLE KWA MKUU WA MKOA WA TANGA KUFUATIA VIFO VYA MASHABIKI WA BONDIA HASSAN MWAKINYO

WAZIRI WA KILIMO: WATAKAOAJIRI WATOTO CHINI YA MIAKA 18 KWENYE TUMBAKU KUKIONA CHA MOTO

WAZIRI WA KILIMO: WATAKAOAJIRI WATOTO CHINI YA MIAKA 18 KWENYE TUMBAKU KUKIONA CHA MOTO

Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dar es salaam Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) amesisitiza marufuku yake aliyoitoa hivi ...
HALMASHAURI YA JIJI LA DODOMA YAANZA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS LA KUWALIPA FIDIA WANANCHI WALIOPISHA ENEO LA JESHI

HALMASHAURI YA JIJI LA DODOMA YAANZA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS LA KUWALIPA FIDIA WANANCHI WALIOPISHA ENEO LA JESHI

Na.Faustine Gimu Galafoni ,Dodoma Halmashauri ya jiji la Dodoma imeshaanza kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanza...
SEKTA YA ARDHI YATAKIWA KUPEWA KIPAUMBELE KATIKA MIPANGO YA MAENDELEO NCHINI

SEKTA YA ARDHI YATAKIWA KUPEWA KIPAUMBELE KATIKA MIPANGO YA MAENDELEO NCHINI

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Eng. Stellah Manyanya amezitaka idara mbalimbali za Serikali kuipa kipaumbele sekta ya ardhi katika...
ELIMU YA UMEME KWA WASIOONA YAIPA TANESCO TASWIRA MPYA

ELIMU YA UMEME KWA WASIOONA YAIPA TANESCO TASWIRA MPYA

SHIRIKA la Umeme Nchini TANESCO limeendesha semina maalum inayohusu masuala ya Umeme kwa wanachama wa chama cha wasioona  Tanzania (TLB...
CHAMA CHA WALIMU TANZANIA KUJENGA KIWANDA CHA MIKATE LISHE SIMIYU

CHAMA CHA WALIMU TANZANIA KUJENGA KIWANDA CHA MIKATE LISHE SIMIYU

Na Stella Kalinga, Simiyu RS Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kinatarajia kujenga kiwanda cha mikate lishe kupitia kampuni yao inayos...
KAMPENI YA ELIMU KWA MLIPAKODI KUANZA KESHO DAR

KAMPENI YA ELIMU KWA MLIPAKODI KUANZA KESHO DAR

Na Veronica Kazimoto, Dar es Salaam Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inatarajia kuanzisha Kampeni ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi...
WENYEVITI WAPYA WA VIJIJI NA VITONGOJI JIMBO LA KISESA WAAPISHWA

WENYEVITI WAPYA WA VIJIJI NA VITONGOJI JIMBO LA KISESA WAAPISHWA

  Wenyeviti wa Vijiji, Vitongoji na wajumbe wao kutoka Jimbo la Kisesa wilayani Meatu Mkoa wa Simiyu wakila kiapo cha utii  kwenye hafla i...
HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO DESEMBA 1,2019

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO DESEMBA 1,2019

Saturday, November 30, 2019

SERIKALI YAANZA MCHAKATO WA KUPANDIKIZA FARU WEUPE NCHINI KWA MARA YA KWANZA

SERIKALI YAANZA MCHAKATO WA KUPANDIKIZA FARU WEUPE NCHINI KWA MARA YA KWANZA

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Khamis Kigwangala  akiwa na baadhi ya wasanii wa muziki na filamu katika hifadhi ya Burigi Chato
Picha : SHIRIKA LA FIKRA MPYA LAENDESHA KONGAMANO KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA

Picha : SHIRIKA LA FIKRA MPYA LAENDESHA KONGAMANO KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA

Shirika lisilo la kiserikali liitawalo Fikra Mpya la Mkoani Shinyanga, linalofanya shughuli ya kutoa elimu ya kujitambua kwa mtoto wa k...
SIMBA SC YAMTIMUA KOCHA PATRICK AUSSEMS

SIMBA SC YAMTIMUA KOCHA PATRICK AUSSEMS

Aliyekuwa kocha wa Simba Patrick Aussems Kocha wa Simba Patrick Aussems amesema uongozi wa Simba umemthibtitishia kuwa yeye kuanzia s...
MBOWE AREJESHA FOMU YAKE YA KUGOMBEA UENYEKITI CHADEMA, TUNDU LISSU KUWA MAKAMU MWENYEKITI

MBOWE AREJESHA FOMU YAKE YA KUGOMBEA UENYEKITI CHADEMA, TUNDU LISSU KUWA MAKAMU MWENYEKITI

Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema atagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho katika Uchaguzi unaoendelea kufan...
NHIF YATOA UFAFANUZI JUU YA TAARIFA ZA ONGEZEKO LA MICHANGO YA WANACHAMA KUTOKA 18,000 HADI 40,000

NHIF YATOA UFAFANUZI JUU YA TAARIFA ZA ONGEZEKO LA MICHANGO YA WANACHAMA KUTOKA 18,000 HADI 40,000

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umesema hakuna mabadiliko ya michango kwa watumishi kama ambavyo taarifa zinazosambazwa mitandao zi...
MADIWANI WATANO CHADEMA JIJINI ARUSHA WAJIUZULU NA KUTIMKIA CCM

MADIWANI WATANO CHADEMA JIJINI ARUSHA WAJIUZULU NA KUTIMKIA CCM

Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dkt. Maulid Madeni amethibitisha amepokea barua za madiwani watano kutoka Chama Cha Demokrasia na Maendele...
RC CHALAMILA AAGIZA MAWAKALA MASHINE ZA EFD KUKAMATWA

RC CHALAMILA AAGIZA MAWAKALA MASHINE ZA EFD KUKAMATWA

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila ameagiza mawakala wa mashine za kutoa risiti za kielektroniki (EFD) mkoani humo, kukamatwa na ku...
 AJIUA BAADA YA KUSHTUKA USINGIZINI NA KUMKOSA MKEWE USIKU KITANDANI

AJIUA BAADA YA KUSHTUKA USINGIZINI NA KUMKOSA MKEWE USIKU KITANDANI

Watu wanne wamefariki dunia katika matukio tofauti wilayani Nkasi mkoani Rukwa, likiwemo la mwanaume kujinyonga kwa kutumia kamba ya nailoni...
GARI LA COASTAL UNION LIKIWA NA MASHABIKI WALIOENDA KUMSHANGILIA BONDIA MWAKINYO LAPATA AJALI

GARI LA COASTAL UNION LIKIWA NA MASHABIKI WALIOENDA KUMSHANGILIA BONDIA MWAKINYO LAPATA AJALI

Gari la Coastal Union iliyokuwa imebeba mashabiki kutoka Tanga ambao walienda Dar kumuunga mkono Bondia Mwakinyo limepata Ajali kwa kugongan...
CHUO CHA MIPANGO CHATAKIWA KUFANYA UTAFITI WA UMASIKINI NA UTEKELEZAJI MIRADI YA UMMA

CHUO CHA MIPANGO CHATAKIWA KUFANYA UTAFITI WA UMASIKINI NA UTEKELEZAJI MIRADI YA UMMA

Benny Mwaipaja, Dodoma NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, amekitaka Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, kuta...