MALUNDE 1 BLOG - All Post

Friday, November 8, 2019

AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JELA KWA KUBAKA MTOTO WA MIAKA 8

AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JELA KWA KUBAKA MTOTO WA MIAKA 8

Na Amiri kilagalila-Njombe Mahakama ya hakimu mkazi mfawidhi wilaya ya Njombe imemhukumu kifungo cha maisha jela mtuhumiwa Addo Aro...
KAULI YA WAZIRI JAFO BAADA YA CHADEMA KUTANGAZA KUJITOA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA

KAULI YA WAZIRI JAFO BAADA YA CHADEMA KUTANGAZA KUJITOA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA

Baada  ya Chadema kutangaza kutoshiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa, Waziri wa Tamisemi, Seleman Jafo amesema uamuzi huo unawanyima fu...
CHAMA CHA ACT-WAZALENDO CHALALAMIKA WAGOMBEA WAKE KUENGULIWA BILA SABABU...KAMATI KUU YA CHAMA HICHO KUKUTANA LEO

CHAMA CHA ACT-WAZALENDO CHALALAMIKA WAGOMBEA WAKE KUENGULIWA BILA SABABU...KAMATI KUU YA CHAMA HICHO KUKUTANA LEO

Chama  cha ACT-Wazalendo kimeeleza kufadhaishwa na kile kilichokiita hujuma dhidi ya vyama vya upinzani katika uteuzi wa wagombea wa Uc...
JAFO AKEMEA VIONGOZI WANAOTOA MATAMKO YA KUHATARISHA AMANI KIPINDI HIKI CHA CHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

JAFO AKEMEA VIONGOZI WANAOTOA MATAMKO YA KUHATARISHA AMANI KIPINDI HIKI CHA CHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amekemea wadau wa siasa wanaotoa matamko ya kuhata...
WAZIRI WA KILIMO: TUNAKARIBISHA WAWEKEZAJI KWENYE ZAO LA KOROSHO

WAZIRI WA KILIMO: TUNAKARIBISHA WAWEKEZAJI KWENYE ZAO LA KOROSHO

Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dar es salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewakaribisha wawekezaji kuja kuwekez...
HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO IJUMAA NOVEMBA 8,2019

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO IJUMAA NOVEMBA 8,2019

Thursday, November 7, 2019

CHADEMA WATANGAZA KUTOSHIRIKI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA KWA MADAI YA KUFANYIWA RAFU

CHADEMA WATANGAZA KUTOSHIRIKI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA KWA MADAI YA KUFANYIWA RAFU

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza  kujitoa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika November ...
HAKIMU WA KABENDERA ATEULIWA KUWA JAJI WA MAHAKAMA KUU ,KESI YAPIGWA KALENDA

HAKIMU WA KABENDERA ATEULIWA KUWA JAJI WA MAHAKAMA KUU ,KESI YAPIGWA KALENDA

Kesi inayomkabili Mwandishi wa Habari za Uchunguzi, Erick Kabendera, imesogezwa mbele hadi Novemba 20, 2019, baada ya Hakimu Augustine ...
KAMATI YA RUFAA ISIFUNGWE NA MAAMUZI YA WASIMAMIZI

KAMATI YA RUFAA ISIFUNGWE NA MAAMUZI YA WASIMAMIZI

Nteghenjwa Hosseah, Iringa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo ameelekeza  Kamati ...
HUKUMU YA JAMAL MALINZI NA WENZAKE YAGONGA MWAMBA, HAKIMU KAHAMISHWA

HUKUMU YA JAMAL MALINZI NA WENZAKE YAGONGA MWAMBA, HAKIMU KAHAMISHWA

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa kusoma hukumu ya aliyekuwa Rais wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi na wenza...
MCHEKESHAJI MAARUFU NJENGA MSWAHILI AFARIKI DUNIA

MCHEKESHAJI MAARUFU NJENGA MSWAHILI AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji aliyekuwa akishiriki shoo ya Churchill Njenga Mswahili amefariki dunia. 
SERIKALI YASEMA INATAMBUA MCHANGO WA WAZEE WALIOTUMIKA KATIKA UKOMBOZI WA NCHI NA UJENZI WA TAIFA

SERIKALI YASEMA INATAMBUA MCHANGO WA WAZEE WALIOTUMIKA KATIKA UKOMBOZI WA NCHI NA UJENZI WA TAIFA

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. Mussa Sima   amesema kuwa Serikali inatambua michango ya watu mbalimb...
TANZANIA YAPUNGUZA UINGIZAJI WA DAWA ZA KULEVYA AINA YA HEROIN KWA ASILIMIA 90%

TANZANIA YAPUNGUZA UINGIZAJI WA DAWA ZA KULEVYA AINA YA HEROIN KWA ASILIMIA 90%

Na,Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. Kwa  mujibu wa Shirika la Kimataifa  la kupambana na dawa za kulevya na Uhalifu[UNODC],Tanzania...
SERIKALI YAWAHAKIKISHIA USHIRIKIANO WANUNUZI WAKUBWA WA TANZANITE

SERIKALI YAWAHAKIKISHIA USHIRIKIANO WANUNUZI WAKUBWA WA TANZANITE

Na Asteria Muhozya, Kilimanjaro Serikali imewahakikishia Ushirikiano Wanunuzi Wakubwa wa Madini ya Tanzanite kutoka nchi za Marekan...
TANZANIA NA MALAWI WASAINI MAKUBALIANO YA KIBIASHARA

TANZANIA NA MALAWI WASAINI MAKUBALIANO YA KIBIASHARA

Serikali ya Tanzania na Malawi zimesaini makubaliano ya ushirikiano wa kuimarisha na kuongeza biashara, mahusiano ya kijamii na miundomb...
Live : MASWALI NA MAJIBU BUNGENI DODOMA LEO NOVEMBA 7,2019

Live : MASWALI NA MAJIBU BUNGENI DODOMA LEO NOVEMBA 7,2019

Maswali Na Majibu Bungeni Dodoma  Leo November 7,2019
DKT. ABBASI: SERIKALI IMEWEKA MIFUMO YA KISHERIA NA KITAASISI KWA MAENDELEO ENDELEVU YA WATANZANIA

DKT. ABBASI: SERIKALI IMEWEKA MIFUMO YA KISHERIA NA KITAASISI KWA MAENDELEO ENDELEVU YA WATANZANIA

Na Mwandishi Wetu, MAELEZO SERIKALI imesema imeweka mifumo imara ya kitaasisi na kisheria inayohakikiwa kuwa miradi ya maendeleo ina...
VUVUZELA, TOCHI KUWARUDISHA HIFADHINI WANYAMA WANAOVAMIA MAKAZI YA WATU HIFADHI YA MKOMAZI

VUVUZELA, TOCHI KUWARUDISHA HIFADHINI WANYAMA WANAOVAMIA MAKAZI YA WATU HIFADHI YA MKOMAZI

  Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi katika Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi Abeli Mtui akizungumza na waandishi ofisini kwake ambao hawapo pichani ...
MATOKEO YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE NOVEMBER 6

MATOKEO YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE NOVEMBER 6

KAMATI KUU CHADEMA KUKUTANA KWA DHARURA LEO ALHAMISI NOVEMBER 7

KAMATI KUU CHADEMA KUKUTANA KWA DHARURA LEO ALHAMISI NOVEMBER 7

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu leo Alhamisi Novemba 7, 2019 kutoa msimamo kuhu...