MALUNDE 1 BLOG - All Post

Wednesday, October 9, 2019

RAIS MAGUFULI AFUNGUA ZOEZI LA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA KITAIFA

RAIS MAGUFULI AFUNGUA ZOEZI LA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA KITAIFA

Na Fred Kibano-TAMISEMI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli amefungua rasmi zoezi la...
HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATANO OKTOBA 9,2019

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATANO OKTOBA 9,2019

Tuesday, October 8, 2019

MHUBIRI AFUKUZWA RWANDA KWA KUENEZA INJILI FEKI.. 'KASEMA WANAWAKE IBILISI'

MHUBIRI AFUKUZWA RWANDA KWA KUENEZA INJILI FEKI.. 'KASEMA WANAWAKE IBILISI'

 Mhubiri mmoja kutoka Marekani amefurushwa nchini Rwanda kwa madai ya kueneza injili feki.  Kulingana na gazeti la the New Times la ...
MKANDARASI AVUNJA MADIRISHA YA ALUMINIUM BAADA YA HALMASHAURI 'KUZINGUA' KUMLIPA PESA ZAKE

MKANDARASI AVUNJA MADIRISHA YA ALUMINIUM BAADA YA HALMASHAURI 'KUZINGUA' KUMLIPA PESA ZAKE

Mkandarasi aliyefahamika kwa jina la  Boniface Exavery, ambaye alitengeneza madirisha ya Almunium na katika Kituo cha Afya cha Katumba,...
KIKWETE AWATAKA VIONGOZI KUACHANA NA TABIA YA KUJIKWEZA MBELE ZA WATU

KIKWETE AWATAKA VIONGOZI KUACHANA NA TABIA YA KUJIKWEZA MBELE ZA WATU

Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amewataka viongozi nchini kuachana na tabia ya kujikweza mbele za watu na badala yake kuishi kama binadamu...
WANANCHI BUKOBA WAANZA KUJIANDIKISHA KWA AJILI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

WANANCHI BUKOBA WAANZA KUJIANDIKISHA KWA AJILI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Na Lydia Lugakila - Malunde 1 blog Wananchi wa Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera wameanza kujiandikisha katika mitaa yao kwa ajili ya ku...
HALMASHAURI YA BUKOBA KUANZISHA KLABU ZA LISHE SHULENI

HALMASHAURI YA BUKOBA KUANZISHA KLABU ZA LISHE SHULENI

Afisa lishe wa Halmashauri ya wilaya ya Bukoba Desdery Karugaba  Na Lydia Lugakila- Malunde 1 blog Halmashauri ya wilaya ya Bu...
DC KOROGWE AFANYA MAZUNGUMZO NA KIKOSI KAZI CHA KURATIBU NA KUSIMAMIA MIRADI INAYOTEKELEZWA KUPITIA MKOPO WA BENKI YA DUNIA

DC KOROGWE AFANYA MAZUNGUMZO NA KIKOSI KAZI CHA KURATIBU NA KUSIMAMIA MIRADI INAYOTEKELEZWA KUPITIA MKOPO WA BENKI YA DUNIA

MKUU wa wilaya ya Korogwe Kissa Gwakisa akizungumza na Kikosi kazi cha kuratibu na kusimamia miradi inayotekelezwa kupitia mkopo wa ...
RATIBA YA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 2019

RATIBA YA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 2019

OLE SABAYA ATAJA SABABU ZA KUTUMIA POLISI MKUTANO WA NDANI WA CHADEMA ULIOONGOZWA NA MBOWE

OLE SABAYA ATAJA SABABU ZA KUTUMIA POLISI MKUTANO WA NDANI WA CHADEMA ULIOONGOZWA NA MBOWE

Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amesema kitendo alichokifanya cha kuwatuma askari Polisi kuingia kwenye Mkutano wa CHADEMA, ...
KOREA KASKAZINI YAONYA IWAPO KUTAZUSHWA MJADALA WA NYUKLIA KWENYE MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA

KOREA KASKAZINI YAONYA IWAPO KUTAZUSHWA MJADALA WA NYUKLIA KWENYE MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA

Korea Kaskazini imeionya Marekani, Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kwamba iwapo wataliibua suala la majaribio yake ya makombora kwenye...
ALLIANCE FC YATUA KENYA KUWEKA KAMBI KUWAVAA YANGA

ALLIANCE FC YATUA KENYA KUWEKA KAMBI KUWAVAA YANGA

Timu ya Wachezaji wa Alliance FC wakiwa pamoja na benchi la ufundi na Wafanyakazi wa Access Bank Jackson Luka Mwafulango Afisa Haba...
Picha : JESHI LA POLISI SHINYANGA LATOA ELIMU YA USALAMA BARABARANI KWA WATU WALEMAVU

Picha : JESHI LA POLISI SHINYANGA LATOA ELIMU YA USALAMA BARABARANI KWA WATU WALEMAVU

Na  Salvatory Ntandu - Malunde 1 blog Ukosefu wa elimu ya Usalama barabarani kwa watu wenye ulemavu mkoani Shinyanga umetajwa kusababis...
WAKUU WA MAGEREZA WATAKIWA KUTUMIA VIZURI WAFUNGWA KUTATUA UHABA WA MAKAZI YA ASKARI

WAKUU WA MAGEREZA WATAKIWA KUTUMIA VIZURI WAFUNGWA KUTATUA UHABA WA MAKAZI YA ASKARI

Na Mwandishi wetu, Songwe;  KAMISHNA Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike amewataka Wakuu wa magereza Tanzania Bara kuhaki...
Live: ZIARA YA RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI MKOANI RUKWA LEO OCTOBER 8

Live: ZIARA YA RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI MKOANI RUKWA LEO OCTOBER 8

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli anafanya ziara ya siku tatu Mkoani Rukwa ambapo anafungua na kuka...
TPDC YAANZA UTAFITI WA MAFUTA YA PETROL BONDE LA EYASI WEMBERE

TPDC YAANZA UTAFITI WA MAFUTA YA PETROL BONDE LA EYASI WEMBERE

Serikali kupitia Shirika la Maendeleo  ya Petroli Tanzania (TPDC) imeanza kufanya utafiti wa mafuta ya petrol katika bonde la Eyasi Wem...
Serikali Kuwachukulia Hatua Kali Za Kinidhamu Watumishi Watakaobainika Kujihusisha Na Rushwa Ya Ngono

Serikali Kuwachukulia Hatua Kali Za Kinidhamu Watumishi Watakaobainika Kujihusisha Na Rushwa Ya Ngono

Na James K. Mwanamyoto, Tunduru Serikali haitosita kuwachukulia hatua kali za kinidhamu watumishi wa umma watakaobainika kujihusisha na r...
Mahakama Kupunguza Kutumia Wazee Washauri Kwenye Kesi

Mahakama Kupunguza Kutumia Wazee Washauri Kwenye Kesi

 Na Lydia Churi-Mahakama, Bunda Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi amesema Mahakama inakusudia kupunguza...
Zoezi la Kuandikisha Wapiga Kura Serikali za Mitaa Limeanza Leo..... Rais Magufuli Kawataka Wananchi WaitumieVizuri Haki Hii ya Kidemokrasia

Zoezi la Kuandikisha Wapiga Kura Serikali za Mitaa Limeanza Leo..... Rais Magufuli Kawataka Wananchi WaitumieVizuri Haki Hii ya Kidemokrasia

Na Fred Kibano Serikali imewataka wananchi wote nchini kujitokeza kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika ...
Rais Magufuli Akerwa na Wanaowapa Mimba Wanafunzi

Rais Magufuli Akerwa na Wanaowapa Mimba Wanafunzi

Rais Magufuli amewataka wakazi wa Mkoa wa Rukwa kuacha tabia ya kuwapa ujauzito wanafunzi na badala yake kutafuta watu ambao wameshamaliza...