MALUNDE 1 BLOG - All Post

Tuesday, September 10, 2019

NAPE NNAUYE ATINGA IKULU KUMUOMBA RADHI  RAIS  MAGUFULI

NAPE NNAUYE ATINGA IKULU KUMUOMBA RADHI RAIS MAGUFULI

Mbunge wa Mtama Nape Nnauye akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya mazu...
WANAWAKE WANAOENDESHA VYOMBO VYA MOTO WAPEWA MAFUNZO KUKABILIANA NA AJALI  BUKOBA

WANAWAKE WANAOENDESHA VYOMBO VYA MOTO WAPEWA MAFUNZO KUKABILIANA NA AJALI BUKOBA

Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama Barabarani mkoa wa Kagera,Winston Kabantega akitoa mada wakati wa mafunzo ya sheria na kanuni za usalama ...
Picha : NIMR YAKUTANA NA WADAU KUJADILI UKIMWI.....SERIKALI YASEMA KONDOMU ZIPO ZA KUTOSHA, TATIZO USAMBAZAJI

Picha : NIMR YAKUTANA NA WADAU KUJADILI UKIMWI.....SERIKALI YASEMA KONDOMU ZIPO ZA KUTOSHA, TATIZO USAMBAZAJI

Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Wazee, Jinsia, Watoto na Walemavu Dkt. Faustine Ndugulile akifungua kongamano la...
KILA BAADA YA SEKUNDE MTU MMOJA ANAJIUA DUNIANI

KILA BAADA YA SEKUNDE MTU MMOJA ANAJIUA DUNIANI

Shirika la Afya Duniani (WHO), limesema kila baada ya sekunde 40 mtu mmoja hujitoa uhai ulimwenguni, sababu kuu ikiwa ni kushindwa kuhi...
ASKOFU  YUDA RUWAICHI AFANYIWA UPASUAJI

ASKOFU YUDA RUWAICHI AFANYIWA UPASUAJI

MIMEA INAYOKULA NYAMA YAANZA KUPANDWA TENA....INA MIKONO MINGI YA KUKAMATIA MSOSI

MIMEA INAYOKULA NYAMA YAANZA KUPANDWA TENA....INA MIKONO MINGI YA KUKAMATIA MSOSI

Mimea inayokula nyama iliyopo hatararini kuangamia imeanza kupandwa tena katika maeneo kadhaa ya Uingereza katika jaribio la kupunguza ku...
TUME YA TAIFA YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA (COSTECH) YATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI NA WATAFITI WA KANDA YA MASHARIKI

TUME YA TAIFA YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA (COSTECH) YATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI NA WATAFITI WA KANDA YA MASHARIKI

Kaimu Mkurugenzi wa TALIRI Dkt. Zabron akifungua mafunzo kwa waandishi wa habari za Sayansi pamoja na watafiti wa kanda ya mashariki ya...
MTIHANI WA DARASA LA SABA  2019 KUANZA KESHO...WAKUU WA SHULE WAONYWA

MTIHANI WA DARASA LA SABA 2019 KUANZA KESHO...WAKUU WA SHULE WAONYWA

Katibu Mkuu wa Baraza la Mitihani Tanzania ( NECTA), Dkt. Charles Msonde akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kufanyika kwa mitiha...
WANANCHI KIGOMA KUNUFAIKA NA UJENZI WA MADARAJA YA MAWE

WANANCHI KIGOMA KUNUFAIKA NA UJENZI WA MADARAJA YA MAWE

Daraja la Nyabigufa linaloendelea kujengwa na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wi...
MAHAKAMA YAMTIA HATIANI MCHUNGAJI MWENYE WAKE WATATU

MAHAKAMA YAMTIA HATIANI MCHUNGAJI MWENYE WAKE WATATU

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam  imemuhukumu Mchungaji wa Kanisa la The Early Church of Lord Yeshwah, David Chirhuza (33...
KUELEKEA MTIHANI DARASA LA SABA, DED AAGIZA KUVUNJA MAKUNDI YOTE YA WHATSAAP

KUELEKEA MTIHANI DARASA LA SABA, DED AAGIZA KUVUNJA MAKUNDI YOTE YA WHATSAAP

Halmashauri ya Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma imevunja makundi yote ya ‘WhatsApp’ ya waratibu elimu msingi ili kuepuka udanganyifu katika...
SERIKALI YAWATAKA WADAU WA KILIMO WAWASILIANE NA BENKI YA TADB KUPATA MIKOPO

SERIKALI YAWATAKA WADAU WA KILIMO WAWASILIANE NA BENKI YA TADB KUPATA MIKOPO

Na. Peter Haule na Saidina Msangi, WFM, Dodoma Serikali imetoa wito kwa wadau wote wa kilimo nchini kuwasiliana na Benki ya Maendel...
WATUHUMIWA WA WIZI WA DHAHABU WAFIKISHWA MAHAKAMANI JIJINI MBEYA

WATUHUMIWA WA WIZI WA DHAHABU WAFIKISHWA MAHAKAMANI JIJINI MBEYA

Na Tito Mselem, Mbeya Watuhumiwa 10 wanaodaiwa kuwa ni wafanyabiashara wa Madini wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa...
KUELEKEA MTIHANI WA TAIFA 2019, RC MTAKA AWAFUNDA DARASA LA SABA SIMIYU

KUELEKEA MTIHANI WA TAIFA 2019, RC MTAKA AWAFUNDA DARASA LA SABA SIMIYU

Na Stella Kalinga, Simiyu RS Kuelekea katika Mtihani wa Taifa wa Kuhitimu elimu ya Msingi Darasa la saba Septemba 11-12, 2019 Mkuu ...
SERIKALI YATARAJIA KUMWAGA TSH.BILIONI 33.5 KWA AJILI YA UJENZI WA WODI 2 KILA HOSPITALI 67 ZA WILAYA NCHINI

SERIKALI YATARAJIA KUMWAGA TSH.BILIONI 33.5 KWA AJILI YA UJENZI WA WODI 2 KILA HOSPITALI 67 ZA WILAYA NCHINI

Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. Serikali inatarajia kutoa jumla ya Shilingi bilioni 33.5 kwa ajili ya kujenga wodi 2  katika kila...
TAARIFA KWA UMMA JUU YA KUTOKEA KWA TETEMEKO LA ARDHI KATIKA MKOA KATAVI

TAARIFA KWA UMMA JUU YA KUTOKEA KWA TETEMEKO LA ARDHI KATIKA MKOA KATAVI

Mnamo tarehe 9/09/2019 majira ya saa 9:38 usiku kumetokea tetemeko la ardhi katika kijiji cha Sibwesa Kata ya Sibwesa karibu na ziwa ...
WANAUME MKOANI SHINYANGA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA YA TOHARA

WANAUME MKOANI SHINYANGA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA YA TOHARA

NA SALVATORY NTANDU Wanaume mkoani Shinyanga wametakiwa kuacha dhana potofu kuwa tohara inapunguza nguzu za kiume na maumbile ya viu...
WACHIMBAJI 10 WA  MADINI WAFUKIWA NA KIFUSI MISUNGWI

WACHIMBAJI 10 WA MADINI WAFUKIWA NA KIFUSI MISUNGWI

Picha haihusiani na tukio halisi lililotokea Takribani watu wanane kati ya 10 ambao ni wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katik...
MBUNGE AHOJI WATOTO KUOKOTA MABOMU BUNGENI DODOMA

MBUNGE AHOJI WATOTO KUOKOTA MABOMU BUNGENI DODOMA

Mbunge wa Nungwi visiwani Zanzibar, Yusuph Hamis, amehoji juu ya mkakati wa Serikali katika kukabiliana na matatizo ya watoto kuokota m...
MKUU WA MAJESHI NCHINI JENERALI MABEYO ACHANGISHA ZAIDI YA MILIONI 40 KUJENGA NYUMBA YA MAPADRE JIMBONI RULENGE NGARA

MKUU WA MAJESHI NCHINI JENERALI MABEYO ACHANGISHA ZAIDI YA MILIONI 40 KUJENGA NYUMBA YA MAPADRE JIMBONI RULENGE NGARA

Na Avitus Benedicto Kyaruzi, Kagera Mkuu wa Majeshi nchini Jenerali Venance Mabeyo ameshiriki na kuendesha harambee ya ujenzi wa ny...