Thursday, March 14, 2019

Picha : MISA TAN YAENDESHA MAFUNZO KWA WATUMISHI WA MAHAKAMA KILIMANJARO

Picha : MISA TAN YAENDESHA MAFUNZO KWA WATUMISHI WA MAHAKAMA KILIMANJARO

Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Moshi, Patricia Fikirini,akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu kwa watum...
Video Mpya : CHUCHE BHAY - NAKUKUMBUKAGA

Video Mpya : CHUCHE BHAY - NAKUKUMBUKAGA

Hii hapa video Mpya ya Msanii Chuchu Bhay ambaye pia  Mtayarishaji  wa Muziki  inaitwa Nakukumbakaga..Itazame hapa chini imeongozwa na ...
KADINALI ATUPWA JELA KWA KUNYANYASA KINGONO WAIMBA KWAYA

KADINALI ATUPWA JELA KWA KUNYANYASA KINGONO WAIMBA KWAYA

Mahakama Kuu nchini Australia imemhukumu Kardinali George Pell kifungo cha miaka sita gerezani, baada ya kukutwa na hatia ya kuwanyan...
WATUMIAJI WA FACEBOOK WASHINDWA KUTUMA UJUMBE

WATUMIAJI WA FACEBOOK WASHINDWA KUTUMA UJUMBE

Mtandao wa kijamii wa Facebook kwa sasa unakumbwa na hali mbaya zaidi ya mawasiliano kuwahi kutokea katika historia yake kwani huduma nyi...
Video Mpya : CHADOGY NG'WANA MARIA - BHUTOLWA BHULAMBU

Video Mpya : CHADOGY NG'WANA MARIA - BHUTOLWA BHULAMBU

Hii hapa video mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Chadogy Ng'wana Maria inaitwa Bhutolwa Bhulambu. Imetengenezwa Hardtone studio na...
LIPUMBA ACHAGULIWA TENA KUWA MWENYEKITI WA CUF...NAFASI YA MAALIM SEIF YAWEKWA KIPORO

LIPUMBA ACHAGULIWA TENA KUWA MWENYEKITI WA CUF...NAFASI YA MAALIM SEIF YAWEKWA KIPORO

Mkutano mkuu wa CUF umemchagua Profesa Ibrahim Lipumba kuwa mwenyeki wa chama hicho, huku nafasi ya Maalim Seif Sharif Hamad ikiwekwa kipor...
KIGOMA WAZINDUA SANAMU YA 'SAMAKI MGEBUKA" ...RC MAGANGA AONYA WIZI WA MIUNDO MBINU

KIGOMA WAZINDUA SANAMU YA 'SAMAKI MGEBUKA" ...RC MAGANGA AONYA WIZI WA MIUNDO MBINU

Muonekano wa Mnara wa Mgebuka mkoani Kigoma Na Rhoda Ezekiel - Malunde1 blog Kigoma Mkuu wa mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali Mstaaf...
KESI YA UCHOCHEZI INAYOMKABILI MBOWE NA WENZAKE YABADILISHIWA HAKIMU

KESI YA UCHOCHEZI INAYOMKABILI MBOWE NA WENZAKE YABADILISHIWA HAKIMU

Kesi ya uchochezi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na viongozi wenzake wanane wa cha...
TUNDU LISSU AMTAKA SPIKA NA KATIBU WA BUNGE KUREJESHA MARA MOJA MSHAHARA WAKE

TUNDU LISSU AMTAKA SPIKA NA KATIBU WA BUNGE KUREJESHA MARA MOJA MSHAHARA WAKE

Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amemtaka Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai na Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai ku...
MAJANGA YAZIDI KUMWANDAMA MBOWE.. APOKONYWA  KIWANJA CHAKE

MAJANGA YAZIDI KUMWANDAMA MBOWE.. APOKONYWA KIWANJA CHAKE

Siku chache baada ya kutoka mahabusu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amekumbana na pigo lingine ...

Wednesday, March 13, 2019

HATIMAYE MBOWE AFUNGUKA BAADA YA KUSOTA RUMANDE SIKU 104

HATIMAYE MBOWE AFUNGUKA BAADA YA KUSOTA RUMANDE SIKU 104

Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe, leo Jumatano Machi 13, 2019 ametoa ujumbe kwa viongozi na...
RAIS MAGUFULI AONESHWA RAMANI YA UWANJA WA KISASA DODOMA

RAIS MAGUFULI AONESHWA RAMANI YA UWANJA WA KISASA DODOMA

Rais Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na timu ya wataalamu wa Tanzania na Misri wanaoshughulikia ujenzi wa uwanja wa michezo kati...
WANAFUNZI WAFUNIKWA NA KIFUSI BAADA YA KUDONDOKEWA NA GHOROFA

WANAFUNZI WAFUNIKWA NA KIFUSI BAADA YA KUDONDOKEWA NA GHOROFA

Watu  kadhaa ikiwemo wanafunzi wanahofiwa kufunikwa na kifusi baada ya jengo moja lililoko katika maeneo ya Ita Faji kwenye mji kibiashara ...
WANAWAKE TABORA WAJIWEKEA UGORO KUMALIZA HAMU YA TENDO LA NDOA

WANAWAKE TABORA WAJIWEKEA UGORO KUMALIZA HAMU YA TENDO LA NDOA

Waswahili husema ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni, Je unajua matumizi yote ya tumbaku ? Mkoani Tabora nchini Tanzania wanawake wa...
MAMA AJIFUNGUA WATOTO WATANO KWA MKUPUO

MAMA AJIFUNGUA WATOTO WATANO KWA MKUPUO

Mama aitwaye  Evelyn Namukhula mwenye umri wa miaka 28   amejifungua salama watoto watano  katika Hospitali Kuu ya Kakamega nchini Kenya . ...
MWARABU ALIYEKABIDHIWA SIMBA ANATISHA

MWARABU ALIYEKABIDHIWA SIMBA ANATISHA

Refarii wa Morocco Kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya wenyeji Simba SC dhidi ya AS Vita, wachezaji wa Simba wanatak...