Saturday, February 16, 2019

MAMA AJIFUNGULIA KWENYE NDOO YA MAJI NA KUUA KICHANGA

MAMA AJIFUNGULIA KWENYE NDOO YA MAJI NA KUUA KICHANGA

Na John Walter-Babati Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara linamshikilia mwanamke wa mtaa wa Nangara Babati mjini, Ramla Omary (23) kwa ko...
MWANAMKE MBARONI KWA KUMCHOMA MTOTO KISU CHA MOTO

MWANAMKE MBARONI KWA KUMCHOMA MTOTO KISU CHA MOTO

 Mwanamke aliyehusika kumfanyia ukatili mtoto wa miaka minane kwa kumchoma na kisu chenye moto mkali sehemu za mapaja anashikiliwa na Jesh...
HAYA NDIYO MAJEMBE YA SIMBA NA YANGA LEO

HAYA NDIYO MAJEMBE YA SIMBA NA YANGA LEO

Ikiwa yamebaki takribani masaa machache mchezo kati ya Yanga na Simba kupigwa, vikosi vya timu zote mbili tayari vimeshatoka na kuwa wazi...
 KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA YANGA LEO HIKI HAPA

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA YANGA LEO HIKI HAPA

Kikosi cha Simba kitakachocheza dhidi ya Yanga
KESI YA ZITTO KABWE DHIDI YA SPIKA NDUGAI KUENDELEA MACHI 26

KESI YA ZITTO KABWE DHIDI YA SPIKA NDUGAI KUENDELEA MACHI 26

Mahakama Kuu imeahirisha kesi ya kikatiba kuhusu kinga ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad na mam...
 ALICHOKISEMA WAZIRI LUGOLA BAADA YA KUFIKA KABURINI KWA KIJANA ALIYEPIGWA RISASI KITUO CHA POLISI

ALICHOKISEMA WAZIRI LUGOLA BAADA YA KUFIKA KABURINI KWA KIJANA ALIYEPIGWA RISASI KITUO CHA POLISI

Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola amefika nyumbani kwa kijana Richard Peter, ambaye amefariki siku za hivi karibuni kwa kupigwa risasi ...
WILAYA YA MUFINDI YAANZA KUPIGA KURA KUWABAINI WABAKAJI NA WALAWITI

WILAYA YA MUFINDI YAANZA KUPIGA KURA KUWABAINI WABAKAJI NA WALAWITI

Na.Amiri kilagalila Halmashauri ya wilaya ya Mufindi mkoani Iringa imeanza kupiga kura ya maoni ya siri katika vijiji vyote vya tarafa ta...
 WAZIRI WA MAMBO YA NDANI KANGI LUGOLA APOKEA GARI,AKEMEA POLISI KUSINDIKIZA BANGI

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI KANGI LUGOLA APOKEA GARI,AKEMEA POLISI KUSINDIKIZA BANGI

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amekemea matumizi yasiyofaa ya magari ya Jeshi la Polisi ikiwamo kubeba au kutumika kusindikiza ma...

Friday, February 15, 2019

MBUNGE ATISHIWA KUUAWA KWA KUNYOFOLEWA NYETI ZAKE NA WASIOJULIKANA

MBUNGE ATISHIWA KUUAWA KWA KUNYOFOLEWA NYETI ZAKE NA WASIOJULIKANA

Mbunge wa Kimilili nchini Kenya Didmus Barasa amemwandikia Spika wa Bunge Justin Muturi akitaka aongezewe walinzi kwa sababu anadai maisha...
 KOCHA MKUU WA YANGA ZAHERA AFUNGUKA KABLA YA KUIVAA SIMBA KESHO

KOCHA MKUU WA YANGA ZAHERA AFUNGUKA KABLA YA KUIVAA SIMBA KESHO

Kuelekea mchezo wa watani wa jadi kesho, kocha mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera ameweka wazi kuwa katika mchezo wa kwanza dhidi ya Simba,...
AIRBUS KUSITISHA UZALISHAJI WA NDEGE ZAKE AINA YA A380

AIRBUS KUSITISHA UZALISHAJI WA NDEGE ZAKE AINA YA A380

Shirika la Airbus limetangaza kwamba ifikapo mwaka 2021 litasitisha uzalishaji wa ndege zake aina ya A380 superjumbo kutokana na kukose...
SERIKALI YAKABIDHI ENEO LA MRADI WA UMEME WA MAJI MTO RUFIJI

SERIKALI YAKABIDHI ENEO LA MRADI WA UMEME WA MAJI MTO RUFIJI

SERIKALI imekabidhi rasmi eneo la mradi wa umeme wa maporomoko ya maji ya Mto Rufiji (RHPP), kwa mkandarasi Kampuni ya Arab Contract...
UJENZI WA RELI YA KIMATAIFA DAR  HADI MOROGORO WASHIKA KASI

UJENZI WA RELI YA KIMATAIFA DAR HADI MOROGORO WASHIKA KASI

Benny Mwaipaja, WFM, Dar es Salaam NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa Serikali imedhamiria kwa dhati kuk...
KAULI YA MWIGULU NCHEMBA BAADA YA KURUHUSIWA KUTOKA HOSPITALI

KAULI YA MWIGULU NCHEMBA BAADA YA KURUHUSIWA KUTOKA HOSPITALI

Mbunge wa Jimbo la Iramba, Mwigulu Nchemba ameruhusiwa kutoka hospitali hii leo kufuatia ajali ya gari aliyoipata Jumatano, Februari 13...
VIJANA WAFARIKI WAKIOGELEA KWENYE LAMBO LA KUJENGEA BARABARA SHINYANGA

VIJANA WAFARIKI WAKIOGELEA KWENYE LAMBO LA KUJENGEA BARABARA SHINYANGA

Picha haihusiani na habari hapa chini  Vijana wawili waliofahamika kwa majina ya Mateo Dase (22) mkazi wa Kadoto na Jonas  Pigi (27) ...
MBUNGE WA USHETU AKERWA NA VITENDO VYA KIHALIFU

MBUNGE WA USHETU AKERWA NA VITENDO VYA KIHALIFU

Mbunge wa Jimbo la Ushetu, wilayani Kahama, mkoani Shinyanga ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, amekemea vitendo vya...