Monday, February 11, 2019

ATANGAZA KUUZA NYETI ZAKE KISA KAFIRISIKA BAADA YA KUKOSA UDIWANI

ATANGAZA KUUZA NYETI ZAKE KISA KAFIRISIKA BAADA YA KUKOSA UDIWANI

Mwanamume mmoja aliyebwagwa kwenye kinyang’anyiro cha udiwani katika kaunti ya migori anayedai kuwa amefirisika, ametangaza kutaka ku...
ASKOFU NKWANDE ATEULIWA KUWA ASKOFU MKUU JIMBO KUU LA MWANZA

ASKOFU NKWANDE ATEULIWA KUWA ASKOFU MKUU JIMBO KUU LA MWANZA

Baba Mtakatifu Francisko ametemua Askofu Renatus Leonard Nkwande wa Jimbo Katoliki la Bunda, kuwa Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Mwanza, Tan...
MKUU WA MAJESHI ATINGA NJOMBE SAKATA LA MAUAJI YA WATOTO

MKUU WA MAJESHI ATINGA NJOMBE SAKATA LA MAUAJI YA WATOTO

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo, akiwasili Mkoani Njombe.
TUNDU LISSU ASIMULIA JINSI "MAZISHI YAKE YALIVYOANDALIWA"

TUNDU LISSU ASIMULIA JINSI "MAZISHI YAKE YALIVYOANDALIWA"

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Antiphas Lissu amesema anahofia kutaja majina ya watu waliomtahadharisha kuhusu namna mazishi ya kif...
MKURUGENZI WA ITIGI AFIKISHWA MAHAMANI TUHUMA MAUAJI YA MUUMINI KANISANI

MKURUGENZI WA ITIGI AFIKISHWA MAHAMANI TUHUMA MAUAJI YA MUUMINI KANISANI

 Mkurugenzi wa halmashauri ya Itigi, Pius Luhende (54) na washtakiwa wengine sita leo Jumatatu Februari 11, 2019 wamefikishwa katika m...
WAMBURA ASOMEWA MASHTAKA 17 LIMO LA  UTAKATISHAJI FEDHA MIL 75

WAMBURA ASOMEWA MASHTAKA 17 LIMO LA UTAKATISHAJI FEDHA MIL 75

Aliyekuwa Makamu wa Rais TFF, Michael Wambura amesomewa mashitaka 17 Mahakamani Kisutu ikiwemo utakatishaji fedha Mil.75
KIKWETE AWASILI NIGERIA KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU

KIKWETE AWASILI NIGERIA KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU

Rais Mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewasili Abuja, nchini Nigeria kuongoza Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Madola k...
IRAN KUENDELEA NA MPANGO WA  NYUKLIA

IRAN KUENDELEA NA MPANGO WA NYUKLIA

Rais wa Iran Hassan Rouhani amesema nchi yake imepania kutanua nguvu zake za kijeshi na mpango wake wa silaha za nyuklia licha ya shiniki...
TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA 11.02 2019 SOLSKJAER KUBAKI OLD TRAFORD

TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA 11.02 2019 SOLSKJAER KUBAKI OLD TRAFORD

Ole Gunnar Solskjaer anatarajiwa kutangazwa kuwa kocha wa kudumu wa klabu ya Manchester United, lakini klabu hiyo inatazamiwa kusubiri mp...
KAZI YA SARRI  MATATANI DARAJANI

KAZI YA SARRI MATATANI DARAJANI

Maurizio Sarri alikuwa katika filamu ambayo watazamaji wa Chelsea hawajaiona , na kitendo cha mwisho hakikuisha vizuri kwa mkufunzi huyo ...
AMBER RUTTY AKANA KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE

AMBER RUTTY AKANA KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE

Serikali imekamilisha upelelezi wa kesi ya kufanya ngono kinyume na maumbile inayomkabili msanii Rutyfiya Aboubakary ‘Amber Ruth’ na mu...
KATIBU MKUU CCM  AMUOMBA JPM ATIBU UGONJWA WA DEKO NA KIBURI UNAOMSUMBUA TUNDU LISSU

KATIBU MKUU CCM AMUOMBA JPM ATIBU UGONJWA WA DEKO NA KIBURI UNAOMSUMBUA TUNDU LISSU

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, amesema Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), anaumwa ugonjwa wa ...
ZANTEL YAANZISHA MPANGO WA WAFANYAKAZI WAKE KUSHIRIKI KUFANYA MAZOEZI YA KUJENGA AFYA ZAO

ZANTEL YAANZISHA MPANGO WA WAFANYAKAZI WAKE KUSHIRIKI KUFANYA MAZOEZI YA KUJENGA AFYA ZAO

Baadhi ya wafanyakazi wa Zantel wakishiriki kufanya mazoezi ya viungo chini ya mpango ulioanzishwa na kampuni ili kuimarisha afya za wafa...
RAIS MUSEVENI APIGA MARUFUKU KUWATUMIA WANAWAKE WENYE MAKALIO MAKUBWA KUVUTIA WATALII

RAIS MUSEVENI APIGA MARUFUKU KUWATUMIA WANAWAKE WENYE MAKALIO MAKUBWA KUVUTIA WATALII

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema hataruhusu mwanamke hata mmoja kutoka nchini humo kuonyesha mwili wake kwa umma kama njia moja ya ...
 Video Mpya : RAMSO STAR Ft INSPECTOR HAROUN - POKEA

Video Mpya : RAMSO STAR Ft INSPECTOR HAROUN - POKEA

Ramso Star Ft Inspector Haroun - Pokea
Wimbo mpya :  PETER MSECHU - UMEJUA KUNIFURAHISHA

Wimbo mpya : PETER MSECHU - UMEJUA KUNIFURAHISHA

Wimbo Mpya wa  Peter Msechu unaitwa Umejua Kunifurahisha