Sunday, February 10, 2019

MAN CITY WAICHAKAZA CHELSEA.... WAITWANGA 6-0 AGUERO AKIVUNJA REKODI YA SHEARER

MAN CITY WAICHAKAZA CHELSEA.... WAITWANGA 6-0 AGUERO AKIVUNJA REKODI YA SHEARER

Mshambuliaji Sergio Aguero amefikia rekodi Allan Shearer ya kupiga hat trick 11, akiiongoza Manchester City kuichakaza Chelsea kwa mabao 6...
HUYU NDIYO JAMAA ANAYEOA MAPACHA WAWILI WANAOFANANA...HULALA NAO KITANDA KIMOJA

HUYU NDIYO JAMAA ANAYEOA MAPACHA WAWILI WANAOFANANA...HULALA NAO KITANDA KIMOJA

Mapacha Anna na Lucy na mchumba wao Ben Bryne
RAIS MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MISA TAKATIFU YA DOMINIKA YA 5 YA MWAKA C KANISA LA MTAKATIFU PETRO DAR

RAIS MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MISA TAKATIFU YA DOMINIKA YA 5 YA MWAKA C KANISA LA MTAKATIFU PETRO DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishiriki na waumini wengine katika Ibada ya Misa Takatifu ya Dominik...
YANGA YAAMKA, YAICHAPA JKT TANZANIA 1-0 NA KUJIIMARISHA KILELENI LIGI KUU

YANGA YAAMKA, YAICHAPA JKT TANZANIA 1-0 NA KUJIIMARISHA KILELENI LIGI KUU

Timu ya Yanga imezinduka baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya JKT Tanzania jioni ya leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa M...
MBUNGE WA CHADEMA APATA AJALI

MBUNGE WA CHADEMA APATA AJALI

Gari la Mbunge lililopata ajali Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimethibitisha Mbunge wake wa viti maalum kutokea Zanzi...
COCA- COLA YAZINDUA KAMPENI YA KUTUNZA FUKWE NA MAZINGIRA 'MCHANGA PEKEE'

COCA- COLA YAZINDUA KAMPENI YA KUTUNZA FUKWE NA MAZINGIRA 'MCHANGA PEKEE'

Mkurugenzi Mkuu wa Cocacola, Bazil Gadzios (kulia) amesema kuwa kampeni ya hiyo ni ya pekee na tayari kampuni ya Coca-Cola Kwanza imefi...
Picha : NDEGE ZAGONGANA UWANJANI

Picha : NDEGE ZAGONGANA UWANJANI

Kimetokea kioja ndege   mbili  za kampuni ya Kenya Airways   zilipogongana katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta nchini Kenya jioni y...
MBOWE ATUMA SALAMU ZA POLE KWA SUMAYE,AMTAKIA UPONAJI WA HARAKA

MBOWE ATUMA SALAMU ZA POLE KWA SUMAYE,AMTAKIA UPONAJI WA HARAKA

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe licha ya kuwa gerezani amemtumia salamu za pole Waziri Mkuu Mstaaf...
TUME YAENDESHA WARSHA VYUO VYA ARDHI KUHUSU DHANA YA USHIRIKISHWAJI KATIKA UPANGAJI WA MATUMIZI YA ARDHI

TUME YAENDESHA WARSHA VYUO VYA ARDHI KUHUSU DHANA YA USHIRIKISHWAJI KATIKA UPANGAJI WA MATUMIZI YA ARDHI

Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi (NLUPC) Dkt. Stephen Nindi akitoa mada wakati wawarsha ya ushirikishwa...
MANARA AWAPA DONGO WANA YANGA "NITAACHA KAZI SIMBA JANUARI 2021 TENA KWA HIARI"

MANARA AWAPA DONGO WANA YANGA "NITAACHA KAZI SIMBA JANUARI 2021 TENA KWA HIARI"

Haji Manara Baada ya kusambaa kwa tetesi nyingi kuwa Afisa Habari wa Simba, Haji Manara yuko mbioni kutemwa katika nafasi yake, mweny...
MUUGUZI ASIMAMISHWA KAZI KWA KULEWA KAZINI HOSPITALI YA MOUNT MERU

MUUGUZI ASIMAMISHWA KAZI KWA KULEWA KAZINI HOSPITALI YA MOUNT MERU

Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania, katika kikao chake cha 196 limemsimamisha Muuguzi Martin Chama kutoa huduma za Uuguzi na Ukunga kwa ...
HAYA NDIYO MAGONJWA MANNE MAPYA YA ZINAA YANAWATOA JASHO WATAALAMU

HAYA NDIYO MAGONJWA MANNE MAPYA YA ZINAA YANAWATOA JASHO WATAALAMU

Magonjwa mapya huibuka kila uchao, na magonjwa yaambukizwayo kwa ngono nayo ni miongoni mwao. Hawa ni bakteria wanne ambao husababish...
MTOTO ALIYEKATWA KOROMEO NJOMBE AFARIKI DUNIA

MTOTO ALIYEKATWA KOROMEO NJOMBE AFARIKI DUNIA

  . Meshack Myonga (4), aliyenusurika kuuawa baada ya kutekwa na kukatwa koromeo wilayani Njombe amefariki dunia leo mchana Jumamosi...

Saturday, February 9, 2019

BINTI ALIYETAKA KUWA MKE WA PILI AUAWA KWA KUCHOMWA SEHEMU ZA SIRI

BINTI ALIYETAKA KUWA MKE WA PILI AUAWA KWA KUCHOMWA SEHEMU ZA SIRI

Binti aliyejulikana kwa jina la Joyce Jackson (18) mkazi wa kijiji cha Rusega kata Karenge wilayani Biharamulo, mkoani Kagera ameuawa kwa...
BUNGE LAAHIRISHWA DODOMA,WAZIRI MKUU ASEMA MAUAJI NJOMBE YANAFANYWA NA WAHUNI WACHACHE

BUNGE LAAHIRISHWA DODOMA,WAZIRI MKUU ASEMA MAUAJI NJOMBE YANAFANYWA NA WAHUNI WACHACHE

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kasimu Majaliwa leo Jumamosi Februari 9,2019 ametoa hoja ya kuahirisha mkutano wa 14 wa Bunge la 11 jijini Dodoma...
HATMA YA CAG,HALIMA MDEE KUJULIKANA BUNGE LIJALO..NDUGAI ASEMA 'TUSIDHARAULIANE'

HATMA YA CAG,HALIMA MDEE KUJULIKANA BUNGE LIJALO..NDUGAI ASEMA 'TUSIDHARAULIANE'

Bunge limemaliza vikao vyake jijini Dodoma leo Jumamosi Februari 9, 2019 huku Spika, Job Ndugai akisogeza mbele kueleza taarifa za kuho...