Saturday, February 9, 2019

MO DEWJI AWATAJA MASHABIKI WA KWELI SIMBA

MO DEWJI AWATAJA MASHABIKI WA KWELI SIMBA

Mohammed Dewji Kuelekea mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba SC dhidi ya Al Ahly Jumanne ijayo, mwenyekiti ...
Picha : SHEREHE YA WATAWA YAFANYIKA KANISA KATOLIKI KAHAMA

Picha : SHEREHE YA WATAWA YAFANYIKA KANISA KATOLIKI KAHAMA

Kanisa katoliki Jimbo la Kahama leo Jumamosi Februari 9,2019 limefanya Sherehe ya Watawa wa jimbo Katoliki la Kahama ambapo imefanyika  k...
KULALA GUEST NJOMBE SASA LAZIMA UWE NA KITAMBULISHO

KULALA GUEST NJOMBE SASA LAZIMA UWE NA KITAMBULISHO

Mkuu wa wilaya ya Njombe, Ruth Msafiri amesema watu wote wanaoingia kwenye nyumba za kulala wageni ni lazima waonyeshe kitambulisho kinac...
BABU WA MIAKA 70 ASHAMBULIWA KISHA KUKATWA NYETI ZAKE NA WASIOJULIKANA

BABU WA MIAKA 70 ASHAMBULIWA KISHA KUKATWA NYETI ZAKE NA WASIOJULIKANA

  Mzee mmoja mwenye umri wa miaka 70 aitwae    Peter  Mutisya Mutongoi  anaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya Machakos Level F...
FISI AUA MWANAFUNZI AKIJIANDAA KWENDA SHULE

FISI AUA MWANAFUNZI AKIJIANDAA KWENDA SHULE

Wakazi wa kijiji cha Leleshwa kaunti ya Laikipia  nchini Kenya wameachwa vinywa wazi huku wakitizama fisi akimshambulia na kumuua mvulana...
RPC ATAJA MAJINA YA WATU WALIOFARIKI KWENYE AJALI YA HIACE, LORI NA PIKIPIKI  BUKOBA

RPC ATAJA MAJINA YA WATU WALIOFARIKI KWENYE AJALI YA HIACE, LORI NA PIKIPIKI BUKOBA

Kamanda wa polisi mkoani Kagera Revocatus Malimi amewataja watu waliopoteza maisha  katika ajali  ya  gari la mizigo aina ya Canter yenye ...
TRUMP NA KIM KUKUTANA TENA HANOI

TRUMP NA KIM KUKUTANA TENA HANOI

Rais wa Marekani, Donald Trump amesema mkutano wake na kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un utafanyika baadae mwezi huu, kwenye mji m...
TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA 09.02.2019 HAZARD KUTIMKIA MADRID

TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA 09.02.2019 HAZARD KUTIMKIA MADRID

Meneja wa Chelsea Maurizio Sarri, amesema hatakuwa kizingiti kwa Eden Hazard ikiwa nyota huyo wa miaka 28 ataamua kujiunga na miamba wa u...
Wimbo Mpya : MOON - WAKO

Wimbo Mpya : MOON - WAKO

Ninao hapa wimbo mpya wa Moon unaitwa Wako, usikilize hapa chini
MKUCHIKA AWAUMBUA WAKUU WA WILAYA WANAOSWEKA RUMANDE WATU KWA SAA 48

MKUCHIKA AWAUMBUA WAKUU WA WILAYA WANAOSWEKA RUMANDE WATU KWA SAA 48

Waziri George Mkuchika. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora), George Mkuchika, amewaumbua baadhi ya wakuu wa Wilaya...
Video Mpya : TYCE - NITASAHAU

Video Mpya : TYCE - NITASAHAU

Msanii Tyce anakualika kutazama video ya wimbo wake mpya unaitwa Nitasau..Itazame hapa chini
MKURUGENZI ANAYEDAIWA KUUA KANISANI AFUNGUKA "NIMEPAKAZIWA TU"

MKURUGENZI ANAYEDAIWA KUUA KANISANI AFUNGUKA "NIMEPAKAZIWA TU"

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi, Pius Luhende anayedaiwa kuhusika na mauaji ya Isaka Petro (28) amezungumza na Mwananchi akisema “ni...
WEZI WATUMIA MABOMBA YA KINYESI KUIBA PESA BENKI

WEZI WATUMIA MABOMBA YA KINYESI KUIBA PESA BENKI

Wezi nchini Ubelgiji wamewashangaza wananchi wa taifa hilo na ulimwengu baada ya kutumia mitaro na mabomba ya maji taka na kinyesi kusa...

Friday, February 8, 2019

Breaking : HIACE YAGONGANA NA LORI NA KUUA WATU WANNE IKITEKETEA KWA MOTO BUKOBA

Breaking : HIACE YAGONGANA NA LORI NA KUUA WATU WANNE IKITEKETEA KWA MOTO BUKOBA

Watu wanne wamepoteza maisha katika ajali   iliyohusisha magari aina ya Canter lenye namba za usajili T223ATK na Hiace yenye namba za usaj...
NABII MAARUFU ATABIRI ATAUAWA KISHA KUFUFUKA BAADA YA SIKU TATU KAMA YESU

NABII MAARUFU ATABIRI ATAUAWA KISHA KUFUFUKA BAADA YA SIKU TATU KAMA YESU

Nabii David Owuor Nabii maarufu David Owuor ametabiri jinsi atakavyoondoka humu duniani baada ya kukamilisha kazi aliyotumwa kufanya na...
HATIMAYE DEREVA AFUNGUKA TUKIO LA TUNDU LISSU KUPIGWA RISASI

HATIMAYE DEREVA AFUNGUKA TUKIO LA TUNDU LISSU KUPIGWA RISASI

 Adam Bakari, dereva wa mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, amesema shambulizi walilofanyiwa akiwa pamoja na mbung...