Wednesday, January 23, 2019

VIUNGO SITA VYA BINADAMU VISIVYO NA TIJA

VIUNGO SITA VYA BINADAMU VISIVYO NA TIJA

Mabadiliko yamejiri baada ya kipindi cha muda mrefu lakini pia ni mchakato wa polepole.
WATU WANNE WANASWA WAKIPANGA SHAMBULIZI DHIDI YA WAISLAMU

WATU WANNE WANASWA WAKIPANGA SHAMBULIZI DHIDI YA WAISLAMU

 Brian Colaneri na Andrew Crysel (kushoto kwenda kulia) pamoja na mvulana wa miaka 16 wanashitakiwa kwa kupanga shambulizi la mabomu dhidi ...
WAKAZI DODOMA WAISHUKURU TBA KWA KUWAPA VIBARUA UJENZI MJI WA KISERIKALI

WAKAZI DODOMA WAISHUKURU TBA KWA KUWAPA VIBARUA UJENZI MJI WA KISERIKALI

Shughuli za ujenzi wa Wizara ya Ofisi ya Rais ,Utumishi na Utawala Bora inayojengwa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) katika mji wa K...
WADAIWA KUINGIZIWA CHUPA NA RUNGU SEHEMU ZAO ZA SIRI

WADAIWA KUINGIZIWA CHUPA NA RUNGU SEHEMU ZAO ZA SIRI

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, kimesema watuhumiwa watano waliokamatwa na polisi w...
KOCHA SIMBA ATEMA BEKI NA MSHAMBULIAJI

KOCHA SIMBA ATEMA BEKI NA MSHAMBULIAJI

Kocha Patrick Aussems Kocha Mkuu wa klabu ya Simba, Patrick Aussems amesema hajawajumuisha wachezaji wake wawili katika kikosi cha ...
BASATA YAWAFUNGULIA DIAMOND NA RAYVANNY..... WASAFI FESTIVAL KUENDELEA KAMA KAWAIDA

BASATA YAWAFUNGULIA DIAMOND NA RAYVANNY..... WASAFI FESTIVAL KUENDELEA KAMA KAWAIDA

Wimbo Mpya : RICH MAVOKO - MAHABA FULL CHAJI

Wimbo Mpya : RICH MAVOKO - MAHABA FULL CHAJI

Tuesday, January 22, 2019

USAIN BOLT ATANGAZA KUSTAAFU SOKA

USAIN BOLT ATANGAZA KUSTAAFU SOKA

Usain Bolt amethibitisha kuwa amestaafu kucheza soka baada ya kushindwa kupata mkataba katika klabu ya Central Coast Mariners ya Australi...
WAZIRI AGOMA KUTUMBULIWA NA RAIS MAGUFULI

WAZIRI AGOMA KUTUMBULIWA NA RAIS MAGUFULI

Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amesema hayupo tayari kutimuliwa na Rais John Magufuli kwa kushindwa kupeleka huduma za maji kwa wanan...
RAIS MAGUFULI AMTAKA BITEKO ASIANGALIE SURA YA MTU.. " UTAZIKWA PEKE YAKO"

RAIS MAGUFULI AMTAKA BITEKO ASIANGALIE SURA YA MTU.. " UTAZIKWA PEKE YAKO"

RAIS John Magufuli amemtaka Waziri wa Madini, Dotto Boteko atekeleze majukumu yake bila kujali sura ya mtu kwa kuwa kaburini atakwenda ...
KK  SHARKS WAICHAPA YANGA 3G

KK SHARKS WAICHAPA YANGA 3G

KIKOSI cha Yanga, leo kimepoteza mchezo wake wa kombe la SportPesa ikiwa ni hatua ya robo fainali kwa kukubali kufungwa mabao 3-2 dhidi y...
NDEGE YAPOTEA ANGANI..YUMO MSHAMBULIAJI MPYA WA CARDIFF CITY

NDEGE YAPOTEA ANGANI..YUMO MSHAMBULIAJI MPYA WA CARDIFF CITY

Mchezaji Sala ambaye alikuwa kwenye ndege hiyo. Mshambuliaji mpya wa klabu ya Cardiff City Emiliano Sala, amepotea angani kwenye nd...
OLE GUNNA SOLSKJAER NA UNAI EMERY KUKUTANA IJUMAA HII EMIRATES FA CUP

OLE GUNNA SOLSKJAER NA UNAI EMERY KUKUTANA IJUMAA HII EMIRATES FA CUP

Raundi ya 4 ya michuano ya Emirates FA CUP, kuanza kupigwa Ijumaa hii ambapo kwa mara ya kwanza Ole Gunna Solskjaer na Unai...
AZAM FC NA SIMBA FEBRUARI 22 NA YANGA APRILI 29 UWANJA WA TAIFA

AZAM FC NA SIMBA FEBRUARI 22 NA YANGA APRILI 29 UWANJA WA TAIFA

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imepanga ratiba za mechi za viporo za Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, itakazocheza...
HATIMAYE MAKAMANDA WALIOTENGULIWA NA KANGI LUGOLA WAONDOLEWA

HATIMAYE MAKAMANDA WALIOTENGULIWA NA KANGI LUGOLA WAONDOLEWA

Jeshi la Polisi limetangaza mabadiliko ya Makamanda wa Mikoa mitatu ikiwemo Ng'anzi (Arusha), Hamduni (Ilala) na Lukula (Temeke) amba...
SHUWASA YATOA  KALENDA ZA 2019 KWA WAANDISHI WA HABARI MANISPAA YA SHINYANGA

SHUWASA YATOA KALENDA ZA 2019 KWA WAANDISHI WA HABARI MANISPAA YA SHINYANGA

Ofisa Mahusiano ya Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Mjini Shinyanga (SHUWASA), Nsianel Gelard ( wa kwanza kulia)  akimkabidhi Kalenda...