Thursday, January 10, 2019

Picha : DC MBONEKO AWATEMBELEA HOSPITALI WANAFUNZI WALIOPATA AJALI SHINYANGA

Picha : DC MBONEKO AWATEMBELEA HOSPITALI WANAFUNZI WALIOPATA AJALI SHINYANGA

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Bi. Jasinta Mboneko amefika katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga kwa ajili ya kuwajulia hali wanaf...
BODABODA AUAWA KWA KUPIGWA NA ABIRIA KISA KAKATAA NAULI YA 500

BODABODA AUAWA KWA KUPIGWA NA ABIRIA KISA KAKATAA NAULI YA 500

Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamsaka mtu mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa kwa sababu za kiupelelezi kwa tuhuma za kumuua dereva ...
BASI LA SHULE YA LITTLE TREASURES LAPATA AJALI DEREVA AKICHAT ..WANAFUNZI WAJERUHIWA

BASI LA SHULE YA LITTLE TREASURES LAPATA AJALI DEREVA AKICHAT ..WANAFUNZI WAJERUHIWA

Basi la shule ya msingi Little Treasures iliyopo katika manispaa ya Shinyanga imepata ajali na kupinduka na kutumbukia mtaroni eneo l...
MWANAMKE APEWA DAWA YA KUSIMAMISHA UUME BADALA YA KUTIBU MACHO

MWANAMKE APEWA DAWA YA KUSIMAMISHA UUME BADALA YA KUTIBU MACHO

Mwanamke mmoja nchini Uingereza amepata majeraha ya kemikali baada ya kupewa kwa makosa dawa ya kusimamisha uume badala ya dawa ya kutibu...
ASILIMIA 52 YA WATANZANIA WAMEPIMA VVU

ASILIMIA 52 YA WATANZANIA WAMEPIMA VVU

Dkt. Faustine Ndugulile Na WAMJW-DOM SERIKALI imesema kuwa Watanzania wapatao 2,405,296 hadi kufikia tarehe Oktoba 2018 walipima ...
FUGA MENDE UTAJIRIKE

FUGA MENDE UTAJIRIKE

Na Joseph Sabinus Mende ni mdudu anayechukiwa na watu wengi katika jamii kwa kuwa anahusishwa na uchafu sambamba na kusambaa kwa mara...
HUYU NDIYE WAZIRI ANAYEJIKOMBA KWA RAIS MAGUFULI 'ASEMA POVU RUKSA'

HUYU NDIYE WAZIRI ANAYEJIKOMBA KWA RAIS MAGUFULI 'ASEMA POVU RUKSA'

Rais Magufuli (kulia) alipokuwa akiipokea ndege ya Airbus A220 - 300 Dodoma. Akiwa tayari ameshatumikia Wizara mbili katika miaka m...
MAHAKAMA YAAMURU KUFUKULIWA KWA MWILI ULIOZIKWA MWAKA JANA

MAHAKAMA YAAMURU KUFUKULIWA KWA MWILI ULIOZIKWA MWAKA JANA

Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, imeamuru kufukuliwa kwa mwili wa marehemu Benedict Msote (68), aliyefariki...
Utafiti : KUZAA OVYO CHANZO CHA UGONJWA WA MOYO

Utafiti : KUZAA OVYO CHANZO CHA UGONJWA WA MOYO

Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Huazhong nchini China, umegundua kwamba kuzaa bila mpangilio husababisha m...
MMILIKI WA SHULE MATATANI KWA KUWATWANGA RISASI WALIMU ARUSHA

MMILIKI WA SHULE MATATANI KWA KUWATWANGA RISASI WALIMU ARUSHA

JESHI la Polisi mkoani Arusha limemsweka ndani mmiliki wa shule binafsi ya Usa Academy iliyopo wilayani Arumeru mkoani Arusha, R...
TCAA YAZINDUA MNARA WA KUONGOZEA NDEGE KATIKA UWANJA WA NDEGE PEMBA, ZANZIBAR

TCAA YAZINDUA MNARA WA KUONGOZEA NDEGE KATIKA UWANJA WA NDEGE PEMBA, ZANZIBAR

Mgeni rasmi, Waziri wa Maji na Umwagiliaji wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Prof.Makame Mbarawa, akikata utepe kuzindua ...
STAND UNITED YAGUBIKWA NA MATUMIZI MAKUBWA KULIKO MAPATO

STAND UNITED YAGUBIKWA NA MATUMIZI MAKUBWA KULIKO MAPATO

Timu ya Stand United maarufu kwa jina la chama la wana inayofadhiliwa baadhi ya huduma na kampuni ya vinywaji ya Jambo products,imeelez...
AMRI SAIDI APEWA HESHIMA YA UKOCHA BORA

AMRI SAIDI APEWA HESHIMA YA UKOCHA BORA

Dismas Ten na Amri Said 'Huwezi kukataa, Amri Said ni kocha mzuri na bora lakini pia ameongeza kitu ndani ya Biashara United'...
SERIKALI YAPIGA MARUFUKU SHULE BINAFSI KUFUKUZA WANAFUNZI WASIOLIPA ADA

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU SHULE BINAFSI KUFUKUZA WANAFUNZI WASIOLIPA ADA

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mwita Waitara amepiga marufuku wanafunzi wa shule binafsi am...
JPM ASOMA SMS ZA WATEULE WAKE " ENDELEENI KUGOMBANA TU...MTAGOMBANIA VIJIJINI SIKU MOJA'

JPM ASOMA SMS ZA WATEULE WAKE " ENDELEENI KUGOMBANA TU...MTAGOMBANIA VIJIJINI SIKU MOJA'

Rais John Magufuli jana alieleza jinsi alivyosoma meseji za watendaji wake serikalini na kubaini baadhi yao wanagombana badala ya kufan...
MARTIN FAYULU APINGA  MATOKEO YA UCHAGUZI WA URAIS CONGO

MARTIN FAYULU APINGA MATOKEO YA UCHAGUZI WA URAIS CONGO

Martin Fayulu, mgombea urais wa upinzani DRC aliyeibuka wa pili, ameyakataa matokeo yaliyotangazwa na tume ya taifa ya uchaguzi.