Wednesday, December 5, 2018

Video Mpya : ROSE MUHANDO Ft JOSE DRAMA - WATANGOJA SANA.......MJIPANGE UPYA

Video Mpya : ROSE MUHANDO Ft JOSE DRAMA - WATANGOJA SANA.......MJIPANGE UPYA

Video mpya ya Rose Muhando ameshirikiana na Jose Drama inaitwa Watangoja sana..Itazame hapa
TUCTA YAKIRI KUSHIRIKISHWA KWENYE MCHAKATO WA UTUNGWAJI WA KANUNI ZA MALIPO YA WASTAAFU

TUCTA YAKIRI KUSHIRIKISHWA KWENYE MCHAKATO WA UTUNGWAJI WA KANUNI ZA MALIPO YA WASTAAFU

       Rais wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhokya akizungumza na wanahabari...
KOCHA APIGA MARUFUKU WACHEZAJI KUPIGA 'SELFIE'

KOCHA APIGA MARUFUKU WACHEZAJI KUPIGA 'SELFIE'

Kocha wa Spurs, Mauricio Pochettino na wachezaji wa Spurs na Arsenal wakiwa uwanjani.
MZEE MAKAMBA NAYE AJITOSA SAKATA LA MEMBE NA KATIBU MKUU WA CCM...

MZEE MAKAMBA NAYE AJITOSA SAKATA LA MEMBE NA KATIBU MKUU WA CCM...

Mvutano kati ya katibu mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally na waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Serikali ya Awamu ya Nne, Be...
SAKATA LA MEMBE NA BASHIRU LAZIDI KUKOLEA...CCM YATOA TAMKO TENA

SAKATA LA MEMBE NA BASHIRU LAZIDI KUKOLEA...CCM YATOA TAMKO TENA

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewaonya watu wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii kuweka habari za uongo zinazowahusu viongozi wa chama hicho...
APHFTA YAKABIDHI VITAA TIBA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA GEITA

APHFTA YAKABIDHI VITAA TIBA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA GEITA

Baadhi ya mashine (Microscopes) zilizotolewa na taasisi ya APHFTA ili kusaidia huduma ya upimaji Malaria katika Hospitali ya Rufa ya Mk...
DAKTARI 'MLEVI'  AUA MAMA NA MTOTO WAKATI WA UPASUAJI

DAKTARI 'MLEVI' AUA MAMA NA MTOTO WAKATI WA UPASUAJI

Daktari mmoja katika jimbo la Gujarat nchini India amekamatwa na polisi baada ya kumfanyia upasuaji mama mjamzito akiwa amelewa.
WATU WATATU WAFUNGWA JELA KWA KUMUUA MWIZI MBEYA

WATU WATATU WAFUNGWA JELA KWA KUMUUA MWIZI MBEYA

Watu watatu wakazi wa kata ya Kalobe jijini Mbeya wamehukumiwa kwenda jela miaka saba kila mmoja baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la maua...
APANDIKIZWA SURA MPYA BAADA YA KUJARIBU KUJIUA KWA RISASI

APANDIKIZWA SURA MPYA BAADA YA KUJARIBU KUJIUA KWA RISASI

Cameron Underwood anasema hakumbani sana na watu wanaomkodolea macho wale kumuuliza maswali tangu amabandikiziwe uso.
AJIFUNGUA MTOTO BAADA YA KUPANDIKIZWA UZAZI WA MAMA YAKE

AJIFUNGUA MTOTO BAADA YA KUPANDIKIZWA UZAZI WA MAMA YAKE

Meenakshi Valand ni mwananamke wa 12 duniani kujifungua mtoto baada ya kupandikizwa mfuko wa uzazi
WAFANYABIASHARA WAJAZWA MAMILIONI KWA KUFANYA MIAMALA

WAFANYABIASHARA WAJAZWA MAMILIONI KWA KUFANYA MIAMALA

Mmoja wa washindi wa promosheni ya ‘Shinda mtaji’, Godfrey Kitende akionesha hundi ya Sh milioni aliyoshinda baada ya kukabidhiwa jana...
MTOTO AZALIWA KUTOKA TUMBO LA UZAZI LA MTU ALIYEKUFA

MTOTO AZALIWA KUTOKA TUMBO LA UZAZI LA MTU ALIYEKUFA

Mtoto mwenye afya aliyezaliwa baada ya upandikizaji kutoka kwa mtu aliyekufa
MRADI WA LTA WAMALIZA MIGOGORO YA ARDHI KATIKA KIJIJI CHA MAGUBIKE KWA KUTOA HATI MILIKI ZA KIMILA

MRADI WA LTA WAMALIZA MIGOGORO YA ARDHI KATIKA KIJIJI CHA MAGUBIKE KWA KUTOA HATI MILIKI ZA KIMILA

Mwenyekiti wa halmashauri ya Iringa Stephen Mhapa akiwa na mkurugenzi wa mradi wa feed the future Malaki Msingwa wakati wa kukabidhi ha...
MKAZI WA IRINGA AJISHINDIA GARI KUPITIA PROMOSHENI YA TBL KUMENOGA, TUKUTANE BAA'

MKAZI WA IRINGA AJISHINDIA GARI KUPITIA PROMOSHENI YA TBL KUMENOGA, TUKUTANE BAA'

Gari alilojishindia Bw.Frank Nathan.
KISIMA CHA GESI MTWARA HATARINI KUMEZWA NA BAHARI

KISIMA CHA GESI MTWARA HATARINI KUMEZWA NA BAHARI

Kutokana na kina cha bahari ya Hindi katika eneo la Mnazi Bay Msimbati mkoani Mtwara kuendelea kumomonyoka siku hadi siku kuelekea nchi kav...

Tuesday, December 4, 2018

BENKI YA CRDB YAPATA DAKTARI MPYA

BENKI YA CRDB YAPATA DAKTARI MPYA

Meneja  Biashara wa Benki ya CRDB tawi la Mwanza, Danford Muyango (pichani) ametunukiwa Shahada  ya Uzamivu (PhD) ya Chuo Kikuu cha Dod...