Wednesday, November 7, 2018

SUGU ACHANA MISTARI BUNGENI ...NGOMA 'ANA MIAKA CHINI YA 18 MBELE YA WAZIRI MKUU

SUGU ACHANA MISTARI BUNGENI ...NGOMA 'ANA MIAKA CHINI YA 18 MBELE YA WAZIRI MKUU

Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ leo ametumbuiza ndani ya ukumbi wa zamani wa Bun...
MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE YAUA MWANAUME MBEYA

MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE YAUA MWANAUME MBEYA

Leo November 7, 2018 Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya limemkamata Theresia Venas Aisei kwa tuhuma za kumuua kwa kutumia kisu Viko Biko wa Iyela...
MKUU WA WILAYA AAGIZA VIJANA WANAOVAA NGUO CHINI YA MAKALIO WACHAPWE VIBOKO

MKUU WA WILAYA AAGIZA VIJANA WANAOVAA NGUO CHINI YA MAKALIO WACHAPWE VIBOKO

Mkuu wa wilaya ya Makete mkoani Njombe Veronika Kesi ametoa amri ya kupewa adhabu ya kuchapwa viboko kwa vijana au mtu yeyote atakaye onek...
NYAMA YA SWALA,NYATI SASA KUUZWA BUCHANI

NYAMA YA SWALA,NYATI SASA KUUZWA BUCHANI

SERIKALI ipo katika hatua ya mwisho kuruhusu bucha za wanyamapori nchini na kutoa siku 30 kwa Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzani...
KANGI LUGOLA : MASHOGA WAPO SALAMA...SIJAPATA TAARIFA WAKILALAMIKIA USALAMA WAO

KANGI LUGOLA : MASHOGA WAPO SALAMA...SIJAPATA TAARIFA WAKILALAMIKIA USALAMA WAO

MBALI na ukweli kwamba Tanzania haiungi mkono watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja wakiwemo mashoga, imefafanuliwa kwamba maish...
MBUNGE BITEKO ACHANGIA MIRADI YA MAENDEO JIMBONI BUKOMBE

MBUNGE BITEKO ACHANGIA MIRADI YA MAENDEO JIMBONI BUKOMBE

Mbunge wa  Jimbo la Bukombe mkoani Geita, Doto Biteko (CCM), ameunga mkono juhudi za  maendeleo za wakazi wa Kata ya Namonge jimboni ...
NONDO : ...WATEKAJI WANGU WAPO...NARUDI CHUO KUENDELEA NA MASOMO

NONDO : ...WATEKAJI WANGU WAPO...NARUDI CHUO KUENDELEA NA MASOMO

Siku mbili baada ya kushinda kesi ya kudaiwa kutoa taarifa za uongo na kudanganya kuwa alitekwa, Mwenyekiti wa Mtandao Wa Wanafunzi Nch...
AGPAHI YAFANIKISHA KUPIMA VVU WATU 800,123 MWANZA, 17,815 WAMEANZISHIWA ARVs

AGPAHI YAFANIKISHA KUPIMA VVU WATU 800,123 MWANZA, 17,815 WAMEANZISHIWA ARVs

Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa AGPAHI, Dkt. Sekela Mwakyusa akimkabidhi zawadi Mkuu wa mkoa wa Mwanza,Mheshimiwa John Mongella kutokana...
MAANDALIZI YA UJENZI WA BARABARA YA NJIA SITA YA UBUNGO-CHALINZE

MAANDALIZI YA UJENZI WA BARABARA YA NJIA SITA YA UBUNGO-CHALINZE

Muonekano wa barabara ya Morogoro eneo la Kimara mwisho Jijini Dar es salaam hivi leo ambapo tayari maandalizi ya ule mradi wa ujenzi ...
MFANYAKAZI WA UDSM AJISHINDIA GARI KUPITIA PROMOSHENI YA 'TBL KUMENOGA, TUKUTANE BAA'

MFANYAKAZI WA UDSM AJISHINDIA GARI KUPITIA PROMOSHENI YA 'TBL KUMENOGA, TUKUTANE BAA'

Meneja wa bia ya Kilimanjaro, Pamela Kikuli, (kushoto)Meneja Udhamini na Mawasiliano wa TBL,David Tarimo (katikati) na Afisa Kutoka Bod...
 MBUNGE CCM AMTUHUMU WAZIRI WA UJENZI KUTOA KAULI YA KUMDHARAU WAZIRI MKUU

MBUNGE CCM AMTUHUMU WAZIRI WA UJENZI KUTOA KAULI YA KUMDHARAU WAZIRI MKUU

Mbunge wa Mafia, Mbaraka Dau (CCM), amemtuhumu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isaack Kamwele, akidai amekiuka agizo la Waziri...

Tuesday, November 6, 2018

MFANYAKAZI WA TTCL AUAWA KWA KUPIGWA JIWE SHINYANGA

MFANYAKAZI WA TTCL AUAWA KWA KUPIGWA JIWE SHINYANGA

Bupe Jacob enzi za uhai wake Mfanyakazi wa Kampuni ya simu TTCL mkoa wa Shinyanga aitwae Bupe Jacob maarufu kwa jina la Mwakibib...
 HOTUBA YA MAPENDEKEZO  YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA  NA MWONGOZO WA MAANDALIZI  YA MPANGO NA BAJETI  YA MWAKA 2019/20

HOTUBA YA MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA NA MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA MWAKA 2019/20

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), akiwasilisha Bungeni Jijini Dodoma, Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa taifa...
POLISI WANAMSAKA MWANAUME ALIYEPIGA  PICHA NA WEMA SEPETU

POLISI WANAMSAKA MWANAUME ALIYEPIGA PICHA NA WEMA SEPETU

Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam wamesema wanamsaka mwanaume aliyeonekana kwenye mitandao ya kijamii akiwa na msanii Wema Sepetu.
Picha : RC MONGELLA AFUNGA KIKAO CHA WADAU WA AFYA MKOA WA MWANZA

Picha : RC MONGELLA AFUNGA KIKAO CHA WADAU WA AFYA MKOA WA MWANZA

Mkuu wa mkoa wa Mwanza,Mheshimiwa John Mongella amefunga kikao cha wadau wa afya na ustawi wa jamii mkoani Mwanza kilichofanyika kwa mu...
MAMA AUA MTOTO WAKE KISA  KAIBA MAEMBE ...AMTUNDIKA JUU YA MTI KUPOTEZA USHAHIDI

MAMA AUA MTOTO WAKE KISA KAIBA MAEMBE ...AMTUNDIKA JUU YA MTI KUPOTEZA USHAHIDI

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia mwanamke mmoja aitwaye Rahel Matalaka (41), mkazi wa kijiji cha Lugenge, kwa tuhuma za kumpi...