Wednesday, October 10, 2018

Video Mpya: JUX FT. JOH MAKINI - TELL ME

Video Mpya: JUX FT. JOH MAKINI - TELL ME

Msanii wa muziki   Bongo , Jux anakukaribisha kutazama video ya wimbo mpya uitwao Tell Me. Itazame hapa.  
 MADEREVA WA WA MABASI MWENDOKASI DAR WAKIMBIA NA FUNGUO

MADEREVA WA WA MABASI MWENDOKASI DAR WAKIMBIA NA FUNGUO

Kampuni inayotoa huduma ya mabasi yaendayo haraka jijini Dar es salaam (UDART) hatimaye imetoa ufafanuzi kuhusiana na vurugu zilizotokea ...
IGP SIRRO AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA POLISI TANZANIA

IGP SIRRO AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA POLISI TANZANIA

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amefanya mabadiliko ya baadhi ya Makamanda wa Polisi nchini.
SERIKALI YAZINDUA MFUMO WA UBORESHAJI UPATIKANAJI DAWA

SERIKALI YAZINDUA MFUMO WA UBORESHAJI UPATIKANAJI DAWA

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ( TAMISEMI),Selemani Jafo akizungumza  na wadau mbalimbali wa afya k...
APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUKUTWA NA MIGUU YA NYUMBU

APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUKUTWA NA MIGUU YA NYUMBU

Marwa Itembe (28), mkazi wa kijiji cha Mbalimbali wilayani Serengeti Mkoa wa Mara amefikishwa mahakamani kwa makosa matatu ya uhujumu uc...
MSD KUWA MNUNUZI MKUU WA DAWA, VIFAA TIBA NA VITENDANISHI VYA MAABARA KWA NCHI ZOTE 16 ZA SADC

MSD KUWA MNUNUZI MKUU WA DAWA, VIFAA TIBA NA VITENDANISHI VYA MAABARA KWA NCHI ZOTE 16 ZA SADC

Katibu Mtendaji wa Sekretariet ya SADC Dkt. Stergomena L. Tax na Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Bw. Laurean Rugambwa Bwanakunu ...
NECTA: WANAFUNZI WALIOJITOKEZA KUFANYA MITIHANI NI ZAIDI YA TULIOTARAJIA

NECTA: WANAFUNZI WALIOJITOKEZA KUFANYA MITIHANI NI ZAIDI YA TULIOTARAJIA

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limesema idadi ya wanafunzi waliojitokeza kurudia mtihani wa darasa la saba kwa tarehe 8 na 9 mwezi ...

Tuesday, October 9, 2018

Tanzia :PRODUCER PANCHO LATINO AFARIKI DUNIA......MASTAA,WADAU KILIO KONA

Tanzia :PRODUCER PANCHO LATINO AFARIKI DUNIA......MASTAA,WADAU KILIO KONA

Mtayarishaji kutoka tasnia ya Bongo Fleva, Pancho Latino ambae alifanya kazi kwenye studio mbalimbali ikiwemo kwa Dully Sykes na Hermy...
WANAUME WAKAMATWA WAKINUNUA MAKAHABA DODOMA

WANAUME WAKAMATWA WAKINUNUA MAKAHABA DODOMA

Na. Alex Sonna,Dodoma Jeshi la polisi mkoa wa Dodoma linawashikilia watuhumiwa 29 wakiwemo makahaba 22 waliokuwa wakifanya biashara ya ...
Video Mpya : NELEMI MBASANDO - JIFUME

Video Mpya : NELEMI MBASANDO - JIFUME

Msanii Mbasando ameachia video yake mpya inaitwa Jifume ...
MWENYEKITI WA KAMATI YA UCHAGUZI TFF AJIUZULU

MWENYEKITI WA KAMATI YA UCHAGUZI TFF AJIUZULU

Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF) Wakili Revocatus Kuuli amejiuzulu wadhifa huo.
WAZIRI AGEUKA MBOGO WALIMU KUVUJISHA MITIHANI ...'SITARAJII KUSIKIA SUALA HILI TENA

WAZIRI AGEUKA MBOGO WALIMU KUVUJISHA MITIHANI ...'SITARAJII KUSIKIA SUALA HILI TENA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaonya maafisa elimu na walimu kutojihusisha na vitendo vya wizi wa mitihani vinavyofanywa kwa lengo la ku...
TANGA UWASA YANUFAIKA NA RUZUKU YA ZAIDI YA BILIONI 1.2

TANGA UWASA YANUFAIKA NA RUZUKU YA ZAIDI YA BILIONI 1.2

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Geofrey Hilly kulia akielezea mipango ya...
POLISI DODOMA WANASA LORI LIKIWA NA POMBE KALI NA VIPODOZI VILIVYOPIGWA MARUFUKU

POLISI DODOMA WANASA LORI LIKIWA NA POMBE KALI NA VIPODOZI VILIVYOPIGWA MARUFUKU

Mnamo tarehe 05.10.2018 majira ya saa 14:00 mchana huko maeneo ya Igawa, Kata ya Lugerele, Tarafa ya Rujewa, Wilaya ya Mbarali, Mkoa wa M...
WIMBO MPYA WA NAY WA MITEGO GUMZO KILA KONA..'..LAWAMA ZOTE KWA JOHN YAWACHANGANYA'

WIMBO MPYA WA NAY WA MITEGO GUMZO KILA KONA..'..LAWAMA ZOTE KWA JOHN YAWACHANGANYA'

Msanii wa muziki wa Bongo fleva Emmanuel Elibariki maarufu kama 'Nay wa Mitego',amekanusha uvumi kuhusiana na kauli yake ya '...
SUMAYE : CCM HAWAPENDI KUAMBIWA UKWELI...DK BASHIRU AJIANDAE KUCHUKIWA

SUMAYE : CCM HAWAPENDI KUAMBIWA UKWELI...DK BASHIRU AJIANDAE KUCHUKIWA

Waziri mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amesema kauli aliyoitoa Katibu Mkuu wa CCM, Dk Ally Bashiru ya kuwa vitendo vya rushwa na kutowaj...