Wednesday, September 12, 2018

MGODI WA DHAHABU WA BULYANHULU WALIPA MILIONI 59 KWA AJILI YA USHURU WA HUDUMA KWA HALMASHAURI YA WILAYA YA NYANG’HWALE

MGODI WA DHAHABU WA BULYANHULU WALIPA MILIONI 59 KWA AJILI YA USHURU WA HUDUMA KWA HALMASHAURI YA WILAYA YA NYANG’HWALE

Kampuni ya Acacia, kupitia Mgodi wake wa Dhahabu wa Bulyanhulu umekabidhi hundi yenye thamani ya shilingi milioni 59,769,145.90/- kwa Ha...
RAIS MAGUFULI AMUAPISHA MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU, KATIBU MKUU WA WIZARA YA AFYA PAMOJA NA BALOZI MMOJA

RAIS MAGUFULI AMUAPISHA MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU, KATIBU MKUU WA WIZARA YA AFYA PAMOJA NA BALOZI MMOJA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Kamishna Diwani Athuman Msuya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasis...
RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI MWINGINE LEO SEPTEMBA 12

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI MWINGINE LEO SEPTEMBA 12

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanazania John Pombe Magufuli amefanya uteuzi mwingine na kumteua Balozi Dkt. Aziz Ponary Mlima kuwa Bal...
KAULI YA RAIS MAGUFULI KUWATAKA WATANZANIA KUZAA YAZUA GUMZO KILA KONA

KAULI YA RAIS MAGUFULI KUWATAKA WATANZANIA KUZAA YAZUA GUMZO KILA KONA

Na Kalunde Jamal, Mwananchi  Siku chache baada ya Rais John Magufuli kuwataka Watanzania wasiogope kuwa na watoto wengi na waendelee ...
CHADEMA WAMNYEMELEA MAALIM SEIF KUGOMBEA URAIS 2020

CHADEMA WAMNYEMELEA MAALIM SEIF KUGOMBEA URAIS 2020

Baraza la Wazee wa Chadema limemkaribisha Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad kuwania urais mwaka 2020 kupi...
WAZIRI MKUU: ULAJI USIOFAA UNAONGEZA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA

WAZIRI MKUU: ULAJI USIOFAA UNAONGEZA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema lishe duni pamoja na ulaji usiofaa na mitindo ya maisha vinachangia kwa kiasi kikubwa katika ongezeko...

Tuesday, September 11, 2018

MCHIMBAJI WA MADINI AFARIKI,WATATU WAJERUHIWA KWA KUANGUKIWA KIFUSI NA MAGOGO KAHAMA

MCHIMBAJI WA MADINI AFARIKI,WATATU WAJERUHIWA KWA KUANGUKIWA KIFUSI NA MAGOGO KAHAMA

Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga ACP Simon Haule (katikati) akisikiliza maelezo kutoka kwa mmoja wa wachimbaji madini katika mgodi w...
MUME AMUUA MKE WAKE KWA KUMKATA MAPANGA

MUME AMUUA MKE WAKE KWA KUMKATA MAPANGA

Mwanamke mmoja mkazi wa kijiji cha Pangaro, wilaya ya Mwanga, Kilimanjaro, Ziada Mwalimu (46) amefariki dunia akidaiwa kukatwakatwa map...
WATANZANIA WAOMBWA KUSHIRIKI SIKU YA MAZINGIRA SEPT 15, 2018

WATANZANIA WAOMBWA KUSHIRIKI SIKU YA MAZINGIRA SEPT 15, 2018

Mjasiriamali na Mtoleaji (Volunteer) Kampeni ya Let’s Do it Tanzania, Fortunatus Ekklesiah (Katikati) akiwaomba Watanzania kujitokeza s...
HAJI MANARA ABARIKI KAIMU RAIS WA SIMBA 'TRY AGAIN' KUNG'OKA

HAJI MANARA ABARIKI KAIMU RAIS WA SIMBA 'TRY AGAIN' KUNG'OKA

Afisa habari wa Simba, Haji Manara Afisa habari wa klabu ya Simba, Haji Manara amebariki uamuzi wa Kaimu Rais wa klabu hiyo, Salim ...
MBUNGE AITAKA SERIKALI ITOE SABABU ZA KUMTUNZA FARU FAUSTA KWA GHARAMA KUBWA KULIKO HATA WAZEE WASIOJIWEZA

MBUNGE AITAKA SERIKALI ITOE SABABU ZA KUMTUNZA FARU FAUSTA KWA GHARAMA KUBWA KULIKO HATA WAZEE WASIOJIWEZA

Faru maarufu anayejulikana kwa jina la Fausta amezua gumzo bungeni baada ya Mbunge wa Viti Maalumu, Suzana Mgonokulima, kuhoji ni kwa nin...
WABUNGE WANAWAKE WAPIGWA STOP KUINGIA NA KUCHA NA KOPE BANDIA BUNGENI

WABUNGE WANAWAKE WAPIGWA STOP KUINGIA NA KUCHA NA KOPE BANDIA BUNGENI

Spika wa Bunge Job Ndugai amepiga marufuku wabunge wanawake kuingia bungeni wakiwa wamebandika kucha na kope za bandia. 
WATU WANNE WAFARIKI  KATIKA AJALI YA GARI LA KUBEBA MBAO ROMBO

WATU WANNE WAFARIKI KATIKA AJALI YA GARI LA KUBEBA MBAO ROMBO

Na Dixon Busagaga,Rombo. WATU wanne wakiwemo wawili wa familia moja wamefariki dunia papo hapo baada ya gari walilokuwa wakisafiria...
RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA DARAJA LA MTO SIBITI LINALOUNGANISHA MKOA WA SIMIYU NA SINGIDA

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA DARAJA LA MTO SIBITI LINALOUNGANISHA MKOA WA SIMIYU NA SINGIDA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali, Mawaziri, Viongozi wa ...

Monday, September 10, 2018

SERIKALI YASITISHA SH MILIONI 50 KWA KILA KIJIJI

SERIKALI YASITISHA SH MILIONI 50 KWA KILA KIJIJI

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, amesema wananchi wasitegemee kupelekewa fedha Sh50 milioni walizoahidi mwaka 2015 katika kipindi c...
AKUTWA NA KICHWA CHA BINADAMU KWENYE UVUNGU WA KITANDA

AKUTWA NA KICHWA CHA BINADAMU KWENYE UVUNGU WA KITANDA

Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linawashikilia watu wawili akiwamo mwenye umri wa miaka 65 kwa tuhuma za kukutwa na kichwa cha binadamu n...