Thursday, August 9, 2018

Picha : RAIS MAGUFULI ASHINDWA KUJIZUIA, AMWAGA MACHOZI AKIAGA MWILI WA KING MAJUTO

Picha : RAIS MAGUFULI ASHINDWA KUJIZUIA, AMWAGA MACHOZI AKIAGA MWILI WA KING MAJUTO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ameshindwa kujizuia na kujikuta akimwaga machozi wakati alipokuwa akiaga mwi...
MBUNGE WA CHADEMA,MWANDISHI WA HABARI NA WENGINE 14 WAACHIWA NA POLISI TARIME

MBUNGE WA CHADEMA,MWANDISHI WA HABARI NA WENGINE 14 WAACHIWA NA POLISI TARIME

Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko, mwandishi wa gazeti la Tanzania Daima Sitta Tuma na wafuasi wengine 14 wa Chadema waliokuwa wameka...
MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU MAREHEMU KING MAJUTO

MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU MAREHEMU KING MAJUTO

Yakiwa yamepita masaa kadhaa tokea msanii wa vichekesho nchini, Alhaji Amri Athuman 'King Majuto' kufariki dunia siku ya jana, ...
STEVE NYERERE APIGWA BENCHI MSIBA WA KING MAJUTO

STEVE NYERERE APIGWA BENCHI MSIBA WA KING MAJUTO

Muigizaji Steve Nyerere ambaye amekuwa mstari wa mbele kuwaunganisha wasanii hasa katika kipindi cha misiba au matatizo yanayowatokea was...
MAMBO 9 YA AJABU KUHUSU TENDO LA NDOA....

MAMBO 9 YA AJABU KUHUSU TENDO LA NDOA....

Tendo la ndoa huaminika kuwa miongoni mwa mambo ya kale zaidi. Bila shaka, binadamu hawangeendelea kuwepo bila kujamiiana. Lakini jinsi ja...
MWILI WA KING MAJUTO KUAGWA LEO KARIMJEE, KUZIKWA KESHO IJUMAA TANGA

MWILI WA KING MAJUTO KUAGWA LEO KARIMJEE, KUZIKWA KESHO IJUMAA TANGA

Mwili wa Mwigizaji Mkongwe nchini Amri Athuman 'King Majuto' aliyefariki dunia Agosti 8,2018 usiku unatarajiwa kuagwa leo Alhamis...

Wednesday, August 8, 2018

RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KIFO CHA KING MAJUTO

RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KIFO CHA KING MAJUTO

Rais Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli siku walipokwenda kumjulia hali King Majuto katika hospitali ya Tumaini jij...
NI MSIBA MZITO ; MASTAA WAMLILIA KING MAJUTO KILA KONA

NI MSIBA MZITO ; MASTAA WAMLILIA KING MAJUTO KILA KONA

Baada ya taarifa za kifo cha Mzee Majuto kuenea kupitia mitandao ya kijamii kilichotokea leo August 8,2018 katika Hospitali ya Taifa Muhim...
MUHIMBILI WATOA TAARIFA KIFO CHA MZEE MAJUTO

MUHIMBILI WATOA TAARIFA KIFO CHA MZEE MAJUTO

Msanii wa vichekesho nchini Amri Athuman maarufu King Majuto, amefariki leo Jumatano Agosti 8, 2018 saa mbili kamili usiku katika hospita...
Breaking News : MZEE MAJUTO AFARIKI DUNIA USIKU HUU

Breaking News : MZEE MAJUTO AFARIKI DUNIA USIKU HUU

Muigizaji na Mchekeshaji Maarufu Nchini Tanzania Amri Athuman Maarufu King Majuto ' Mzee Majuto amefariki dunia usiku huu majira ya s...
MKUTANO WA CHADEMA WAPIGWA MABOMU....MBUNGE,MWANDISHI WA HABARI MBARONI

MKUTANO WA CHADEMA WAPIGWA MABOMU....MBUNGE,MWANDISHI WA HABARI MBARONI

RAIS ATISHIA KUWAUA POLISI AKIDAI HAWANA MAANA NA MZIGO KWA JAMII"

RAIS ATISHIA KUWAUA POLISI AKIDAI HAWANA MAANA NA MZIGO KWA JAMII"

Askari polisi
HUYU NDIYE JOKATE MWEGELO...MFAHAMU ZAIDI HAPA 'HASHUSHWI CHINI KIRAHISI'

HUYU NDIYE JOKATE MWEGELO...MFAHAMU ZAIDI HAPA 'HASHUSHWI CHINI KIRAHISI'

JOKATE MWEGELO Unaposikia jina la Jokate Mwegelo, akilini vinakuja vitu tofauti tofauti kwa kila anayemfahamu. Yupo anayemfahamu kama mre...
EMMANUEL RAMAZANI SHADARI KUMRITHI RAIS JOSEPH KABILA CONGO

EMMANUEL RAMAZANI SHADARI KUMRITHI RAIS JOSEPH KABILA CONGO

Joseph Kabila Sasa ni rasmi kwamba rais Joseph kabila wa Congo hatawania tena urais na kwamba chama chake kimemchagua Emmanuel Ramazani...
NAY WA MITEGO AACHIA NGOMA MPYA INAITWA  'MWAKA WA ROHO MBAYA'

NAY WA MITEGO AACHIA NGOMA MPYA INAITWA 'MWAKA WA ROHO MBAYA'

Rapa Ney wa Mitego ameachia video ya wimbo wake mpya wa ‘Mwaka wa Roho Mbaya’ ambapo kwenye mashairi ya wimbo huo kafunguka mambo kibao i...
MLINZI KAMPUNI YA LAKE SECURITY AUAWA KWA KUPIGWA RISASI MWANZA

MLINZI KAMPUNI YA LAKE SECURITY AUAWA KWA KUPIGWA RISASI MWANZA

Mlinzi wa kampuni ya Lake Security, ameuawa kwa kupigwa risasi tumboni na mlinzi mwenzake baada ya kuzuka ugomvi kati yao wa kudaiana Sh...